• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

TASAF YATOA MAFUNZO YA NeST KWA WATENDAJI WA VIJIJI NA WAJUMBE WA CMC

Posted on: January 24th, 2025

Kaimu Mkrugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale Ndg, Majagi Maiga amefungua mafunzo ya mfumo wa Serikali wa Manunuzi NeST kwa watendaji wa Vijiji na Wajumbe wa kamati ya Maendeleo (CMC) katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale.

Akizungumza na Wajumbe wa CMC Ndg, Maiga amewasisitiza kutumia Mfumo wa NeST katika kufanya manunuzi kwenye miradi ya TASAF kama Serikali ilivyooelekeza kufikia Januari mwaka 2025, TASAF ianze kutumia mfumo huo.

Aidha Afisa Ugavi Wilaya Ndg, Deonatus Mtani amefundisha jinsi ya kujisajili katika mfumo wa manunuzi NeST, jinsi ya kupokea mradi na kufuata taratibu zote mpaka hatua ya kumpata mzabuni kwenye mradi husika kwa wajumbe hao.

Mafunzo hayo yamefanyikaa kwa vitendo ambapo kila mjumbe alitakiwa kuingia kwenye mfumo huo ili kuhakikisha Wajumbe wanaelewa vizuri na kwenda kutumia mfumo huo katika kutangaza zabuni kwenye miradi inayotekelezwa.

Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Shibalanga, Ndg, Abdul Mihayo amesema mfumo huo utawasaidia wajumbe kuokoa muda kwani hapo awali walikuwa wakitoka umbali mrefu kwenda kusambasa zabuni hizo, pia utawarahisishia kuleta uwazi na kurahisisha kupata wazabuni kwa haraka.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved