• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

SERIKALI KUJENGA MRADI WA UMWAGILIAJI BWAWA LA NYAMGOGWA

Posted on: May 24th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Nyang'hwale, Mhe. Grace Kingalame jana Mei 23, 2025 amezungumza na Wananchi wa Kata ya Shabaka juu ya uzinduzi wa mradi mkubwa wa umwagiliaji kupitia bwawa la Nyamgogwa utakaogharimu Tsh.Bilioni 15.

Mkuu wa Wilaya ya Nyang'hwale Mhe, Grace Kingalame akizungumza na Wananchi wa Kata ya Shabaka

Mhe.Kingalame amesema kuwa mradi huo ni sehemu ya juhudi za serikali ya awamu ya sita katika kuboresha sekta ya kilimo kupitia matumizi ya teknolojia ya umwagiliaji, hasa katika maeneo yenye changamoto ya upatikanaji wa mvua za uhakika.

Katibu Tawala wa Wilaya ya Nyang'hwale, Ndg, Kaunga Omari akizungmza na Wananchi juu ya kujengwa kwa mradi wa umwagiliaji Nyamgogwa

Aidha, ametoa wito kwa wananchi juu ya kutunza vyanzo vya maji vinavyotiririsha maji kwenye bwawa hilo ikiwa ni pamoja na kutojihusisha na ukataji wa miti kwenye hifadhi ya pori la mienze  ili kuufanya mradi huo kuwa endelevu na wenye tija.

Mkurugenzi Mtendaji wa H/W Nyang'hwale akitoa elimu kwa Wananchi juu ya mradi wa umwagiliaji

Afisa Kilimo (W) Ndg David Mabula amesema mradi huo utakapokamilika utajumuisha maeneo ya kunyweshea mifugo, viwanda vya kuchakata nafaka  kama vile Mpunga na maghala ya kuhifadhia mazao yatakayopatikana.


Sambamba na hayo Afisa Maendeleo ya jamii (W), Ndg, Majagi Maiga, amewahimiza vijana na wanawake kuchangamkia fursa zitakazojitokeza kwa kuunda vikundi vitakavyojishughulisha na Kilimo na ununuzi wa nafaka.

Afisa Kilimo (W) Nyang'hwale akitoa elimu kwa Wananchi juu ya mradi wa umwagiliaji


Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • MILIONI 206 ZATOLEWA KWA VIKUNDI 31 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WENYE ULEMAVU AWAMU YA KWANZA YA MWAKA 2025/2026

    October 24, 2025
  • MKURUGENZI MKUU TAKUKURU AZINDUA JENGO LA OFISI ZA TAKUKURU NYANG'HWALE

    October 22, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAHIMIZWA KUWAHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI

    October 18, 2025
  • WATENDAJI WA KATA WAJENGEWA UWEZO WA KUSIMAMIA MIRADI KWENYE KATA ZAO

    October 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved