• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MKUU WA WILAYA AMETEMBELEA MIRADI YA AFYA KATA YA MWINGIRO

Posted on: October 3rd, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale, Mhe. Grace Kingalame, akiwa na Kamati ya ulinzi na usalama (W) jana Oktoba 02, 2023 amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa miradi ya Afya na kufanya Mkutano wa hadhara katika kata ya Mwingiro.

Katika kuhakikisha serikali inatatua kero za Wananchi, Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale amejidhatiti kuishi kwenye falsafa hiyo kwa kufanya ziara za mara kwa mara za kukagua miradi ya maendeleo na kusikiliza kero za Wananchi kwenye viunga vyote vya Wilaya ya Nnyang’hwale.

Mhe. Kingalame ametembelea mradi wa ujenzi wa Zahanati ya Nyamikonze, ambapo kwa sasa shughuli zinazoendelea ni kuboresha choo na bafu katika chumba cha kujifungulia, uwekaji wa miundombinu ya maji,ujenzi wa kinawia mikono na ujenzi wa kichomea taka.

Aidha, Mhe. Kingalame ametembelea ujenzi wa Zahanati ya Iyenze, ambapo kazi zinazoendelea kwa sasa ni pamoja na ukamilishaji wa ujenzi wa choo cha wagonjwa chenye matundu matatu, ujenzi wa kichomea taka na uzio.

Sambamba na hayo, ziara hiyo imetembelea ukamilishaji wa ujenzi wa Zahananti ya Mwingiro, ambapo sehemu kubwa ya shughuli nyingi zimekamilika, isipokua kwa sasa shughuli zinazoendelea ni upakaji wa rangi ndani ya jengo la mama na mtoto.

Pia, akiwa kwenye mradi wa ujenzi wa boma la nyumba za walimu katika shule ya Msingi Hussein Nassor iliyopo Kijiji cha Ng’wasabuka, Mhe. Kingalame amewapongeza wananchi hao kwa kuonesha juhudi za kuchangia miradi ya maendeleo.

Ziara hiyo ilimalizika kwa kufanya kikao cha ndani na Wazee wa Kijiji cha Ng’wasabuka na baadae mkutano wa hadhara na wananchi wa Kijiji hiko. Wananchi walipata fursa za kueleza kero zao na Mhe. Mkuu wa Wilaya kwa kushirikiana na wataalam kutoka Ofisi ya Mkurugenzi walizipatia ufumbuzi.






Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved