• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MKURUGENZI AKABIDHI VITENDEA KAZI VYA USAFI

Posted on: February 26th, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa H/W Nyang’hwale, Ndg, Husna Toni, leo Februari 26, 2025 amekabidhi vitendea kazi vya kufanyia usafi kwa vijana wanaofanya shughuli ya kufanya usafi katika maeneo mbalimbali ya mji wa Kharumwa na viunga vyake.

Miongoni mwa vifaa alivyokabidhi ni pamoja na mapipa 11 ya kuhifadhia taka, kofia ngumu tano, viatu pea tano, glaves ngumu pea tano, na Mavazi maalum (Kombati) matano.

Amesema lengo la kukabidhi vifaa hivyo ni pamoja na kuhakikisha mazingira yanakua safi na salama muda wote ili kuepukana na athari zinazoweza kusababishwa na uchafu unaozalishwa kutokana na shughuli mbalimbali za kiuchumi na uzalishaji.

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Usafi na Udbiti wa taka, Ndg, Ezekiel Ntiriyo amesema vifaa hivyo ikiwemo mapipa yataenda kuongezwa kwenye maeneo yenye mkusanyiko na biashara nyingi ili kurahisisha zoezi la ukusanyaji wa taka na usafishaji wa mji.

Ntirio ametoa rai kwa Wananchi juu ya matumizi sahihi ya vifaa hivyo (Mapipa) ambapo Wananchi wametakiwa kutokuweka taka hatarishi kama vile vitu vyenye ncha kali, mizoga ya wanyama, chupa za mikojo na pempas za Watoto.

Obadia Charles, ambae anafanya shughuli ya uzoaji wa taka ameishukuru Serikali kwa kuwapatia vifaa hivyo kwa kuwa vitawawezesha kufanya kazi kwa usalama na kujikinga na athari zitokanazo na shughuli hiyo ya uzoaji wa taka.


Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU HALMASHAURI IMEPOKEA FEDHA TSH. BILIONI 1.1 ZA MIRADI YA MAENDELEO

    May 16, 2025
  • SIKU YA FAMILIA WAZAZI WATAKIWA KUIMARISHA FAMILIA

    May 15, 2025
  • BARRICK NA HALMASHAURI WASAINI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR 2025

    May 13, 2025
  • DAS AWATAKA WAZAZI KULINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

    May 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved