• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MAFUNZO YA UFUGAJI NYUKI NA UTUNZAJI WA MAZINGIRA KUNUFAISHA WAFUGAJI NYANG'HWALE.

Posted on: November 1st, 2024

Mhifadhi Misitu kutoka Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) kwa Wilaya ya Nyang'hwale, Ndg.  Joyce Jonas kwa Kushirikiana na Afisa Misitu Wa Halmashauri ya wilaya ya Nyang'hwale Ndg. Benson Kafula Jana Oktoba 31, 20204, Wametoa mafunzo ya Ufugaji nyuki kwa Vikundi na watu binafsi wanaofuga nyuki katika Kata za Bukwimba na Nyamtukuza.

Afisa Misitu Mwandamizi  Wilaya ya Chato Ndg.Gerald Katunzi akitoa mafunzo ya ufugaji nyuki kwa vikundi na watu binafisi

Mafunzo hayo yamejikita katika aina, makundi na tabia za nyuki, uanzishaji na utunzaji wa Manzuki za Nyuki, sera na miongozo ya ufugaji nyuki, zana za kisasa za Ufugaji nyuki, mazao yatokanayo na nyuki (Asali, Nta na Sumu ya nyuki), Uchakataji na ufungashaji wa mazao ya Nyuki.

Mhifadhi Misitu kutoka Wakala wa Misitu Tanzania Ndg.Joyce Jonas akitoa mafunzo ya ufugaji nyuki.

Aidha, Mwezeshaji wa mafunzo hayo Afisa Uhifadhi Mwandamizi wa Misitu Wilaya ya Chato Ndg, Gerald Katunzi, amesisitiza juu ya Zana za Ufugaji nyuki za kisasa na kuondokana uhifadhi wa kutumia mizinga ya jadi ya magogo ili kuongeza uzalishaji wa mazao ya nyuki katika ubora na kuboresha maisha ya wafugaji hao.

Afisa Misitu wa Halmashauri ya Wilaya ya nyang'hwale Ndg. Benson Kafula akiwasilisha mada namna ya kufugaji nyuki.

Pia amewaelekeza wafugaji hao kusajili vikundi ili kunufaika na fursa kutoka Mfuko wa Wakala wa misitu Tanzania (TFS) ambapo hutoa ruzuku kwa wafugaji wa nyuki, kupata fedha za asilimia mikopo ya 10% kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale, ambazo zitawasaidia kununua mizinga ya kisasa pamoja na mavazi ya kuvunia asali.

Afisa Misitu Mwandamizi  Wilaya ya Chato Ndg.Gerald Katunzi akielezea vipimo vya mzinga wa nyuki kwa vikundi na watu binafisi.

Halikadhalika Ndg, Gerald amewataka wafugaji kuachana na vifungashio visivyo rasmi kama vile chupa za vileo na badala yake kutumia chupa mahususi kwa kufungashia asali ambavyo huandaliwa na vyama vya wajasiriamali ambavyo vitaweza kumvutia mteja kununua na kuongeza thamani ya bidhaa hiyo.

Picha ya pamoja ya Maafisa wa misitu kutoka Wilayani na wananchi

Vikundi vya Wananchi na watu binafisi wameshukuru kupata Elimu hiyo ya Ufugaji nyuki itakayowasaidia kuongeza uzalishaji wa mazao ya nyuki na kuongeza ubora wa asali watakayovuna kwa kutumia vifaa vya kisasa.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved