• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

`MAAFISA MAENDELEO WATAKIWA KUSHAURI MIRADI YENYE TIJA KWA VIKUNDI

Posted on: May 30th, 2025

Mwenyekiti wa Kamati ya Uhakiki wa Mikopo Wilaya,  ambae pia ni Katibu Tawala Wilaya Ndg. Kaunga Omari jana Mei 30, 2025 ameshiriki kikao kazi cha Maafisa Maendeleo ya Jamii kilichofanyika katika Ukumbi Mdogo wa Halmashauri.

Akiwa katika kikao hicho amewataka Maafisa Maendeleo kuwashauri Wananchi miradi yenye tija itakayowaletea faida na kuwakwamua kiuchumi ili kutimiza lengo la Serikali la kuwainua Wananchi kiuchumi

Aidha, amewataka Maafisa Maendeleo kutimiza majukumu yao katika kusimamia Mikopo ya Asilimia 10 kwa kufuata kanuni na Miongozo ya Mikopo hiyo ili kujiepusha na vitendo vya udanganyifu.

Vilevile Amewataka kutumia muda wao kutoa elimu ya ujasiriamali kwa Vikundi mbalimbali vya Mikopo ili kuviongezea wigo wa kufikiria bishara nyengine tofauti na Ufugaji na Ununuzi wa Nafaka kwa kuwa inaonesha Shughuli nyingi za Vikundi ni Ufugaji na Ununuzi wa Nafaka.

Pamoja na mambo mengine kikao hicho kimelenga kuwakumbusha Maafisa Maendeleo ya Jamii juu ya miongozo ya Mikopo ya Asilimia 10 inayotolewa kwa Vijana, Wanawake na Watu wenye Ulemavu.


Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI 53 ZA KUKUSANYA MAPATO KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANGH'WALE June 23, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 03, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • View All

Latest News

  • WAZAZI NA WALEZI WATAKIWA KULINDA HAKI ZA WATOTO

    June 16, 2025
  • NYANG'HWALE YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

    June 11, 2025
  • MILIONI 303 ZATOLEWA KWA VIKUNDI 53 VYA VIJANA, WANAWAKE NA WENYE ULEMAVU AWAMU YA PILI

    June 03, 2025
  • NYANG'HWALE YAZINDUA ZOEZI LA CHANJO DHIDI YA KICHAA CHA MBWA

    June 02, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved