• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA, NYANG’HWALE

Posted on: June 15th, 2023

Hafla za maadhimisho ya Siku ya siku ya mtoto wa Afrika yamefanyika leo Juni 15, 2023 katika Kijiji cha Nyashilanga, kata ya Nyabulanda, Wilaya ya Nyang’hwale. Maadhimisho hayo yamebeba kauli mbiu isemayo “Zingatia Usalama wa Mtoto katika Ulimwengu wa Kidigitali”

Hafla hiyo ilihudhuriwa na Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale, Bi Husna Toni, akiambatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, Viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa, na wananchi kutoka maeneo mbalimbali.

Siku ya mtoto wa Afrika ambayo huadhimishwa ifikapo Juni 16 kila mwaka, ni miongoni mwa alama adhim na muhimu inayoendelea kuishi dahar katika historia ya maisha ya mtoto wa Afrika.

Historia hii inatukumbusha mapambano dhidi ukatili wa Watoto yaliyoasisiwa nchi ya Afrika ya Kusini, katika mji wa Soweto mnamo mwaka 1976. Aidha, mwaka 1991 Wakuu wa Nchi wanachama wa Afrika, kwa kipindi hiko (OAU), kwa sasa (AU), walianzisha siku ya mtoto wa Afrika ili kuyaenzi mapambano hayo.

Akizungumza katika maadhimisho hayo, Afisa Tawala Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Nyang’hwale, Bw. Emmanuel Mnyonyi alisema, Watoto wana haki zao mbalimbali wanazostahili kuzipata kutoka kwa wazazi, walezi na jamii kwa ujumla.

Aidha, Bw. Manyonyi alianisha miongoni mwa haki hizo kuwa ni pamoja na haki ya kuishi, kupata elimu bora, afya bora, mavazi, na kusaidiwa katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku.

“Wazazi na walezi kwa kushirikiana na serikali wahakikishe wanawalinda Watoto hawa dhidi ya vitendo mbalimbali vya ukatili dhidi yao. Tuwaepushe na ndoa za utotoni na kutumikishwa kwenye ajira za utotoni” Alisisitiza

“Tuwasimamie kwenye matumizi sahihi ya vifaa vya kielektroniki na matumizi sahihi ya mitandao ili kuwaepusha na ukatili wanaoweza kukumbana nao mitandaoni kama kauli mbiu ya mwaka huu inavyoelekeza” Alimalizia Bw. Manyonyi





Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved