• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU HALMASHAURI IMEPOKEA FEDHA TSH. BILIONI 1.1 ZA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: May 16th, 2025

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale, Mhe, John I. John amesema hadi kufikia kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/2025, Halmashauri imepokea fedha Tsh. Bilioni 1.1 kwa ajili ya Shughuli za maendeleo.

Baadhi ya Waheshimiwa Madiwani wakiwa kwenye Mkutano wa tatu wa Baraza la madiwani kwa kipindi cha robo ya tatu ya Mwaka wa fedha 2024/2025

Amesema hayo jana, Mei 15, 2025 wakati akiwasilisha taaarifa yake, siku ya pili ya Mkutano wa tatu wa Baraza la madiwani katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/2025 uliofanyika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri.

Amefafanua kuwa Halmashauri imepokea Tsh. Milioni 893.6 kutoka Serikali Kuu na Tsh. Milioni 266.1 kutoka mapato ya ndani ya Halmashauri kwa ajili ya shughuli katika sekta ya Afya, Elimu, Mazingira na Utawala.

Baadhi ya Wajumbe waliohudhuria Mkutano wa tatu wa Baraza la madiwani kwa kipindi cha robo ya tatu ya Mwaka wa fedha 2024/2025

Aidha, amesema Serikali ya awamu ya Sita imedhamiria kuboresha mazingira ya kazi kwa Watumishi wa kada mbalimbali, mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji, na upatikanaji wa huduma bora za Afya katika Zahanati, Vituo vya Afya na Hospitali ya Wilaya.

Baadhi ya Wakuu wa Idara na vitengo wakifuatilia Mkutano wa tatu wa Baraza la madiwani kwa kipindi cha robo ya tatu ya Mwaka wa fedha 2024/2025

Pamoja na mambo mengine amemshukuru Mhe, Dkt, Samia Suluhu Hassan kwa kutenga fedha nyingi za kutekeleza miradi ya maendeleo Wilayani Nyang'hwale.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU HALMASHAURI IMEPOKEA FEDHA TSH. BILIONI 1.1 ZA MIRADI YA MAENDELEO

    May 16, 2025
  • SIKU YA FAMILIA WAZAZI WATAKIWA KUIMARISHA FAMILIA

    May 15, 2025
  • BARRICK NA HALMASHAURI WASAINI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR 2025

    May 13, 2025
  • DAS AWATAKA WAZAZI KULINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

    May 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved