• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

DC KINGALAME AONGOZA KIKOA CHA TATHIMINI UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE ROBO YA PILI OKTOBA - DISERMBA 2024

Posted on: January 30th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale Mhe. Grace Kingalame Jana Januari 30, 2025 ameongoza kikao cha tathimini ya utekelezaji wa shughuli za Lishe kwa kipindi cha robo ya pili Oktoba – Disemba, 2024.

Afisa lishe (W) Ndg, Samoe Bakari ameeleza shughuli za Lishe zilizotekelezwa kwa kipindi cha robo ya pili ikiwa ni pamoja na ununuzi wa maziwa, sukari na mafuta yenye thamani ya Tsh million moja yaliyowezesha matibabu ya utapiamlo kwa Watoto waliolazwa Hospitali ya Wilaya.

Aidha, amesema ilifanyika shughuli ya kampeni ya utoaji wa matone na dawa za minyoo ya tumbo kwa watoto wenye umri chini ya miezi 6-59 katika vituo vyote vya kutolea huduma za Afya ambapo idadi kubwa ya watoto walifikiwa na kupatiwa huduma hiyo.

Kupitia maadhimisho ya Wiki ya magonjwa yasiyoambukiza, elimu kuhusiana na umuhimu wa kuzingatia lishe bora ilitolewa kwa makundi mbalimbali ya watu kwenye jamii na tathmini ya hali ya lishe ilifanyika kwa wananchi, Viongozi, Taasisi za umma ikiwemo TAKUKURU, Watumishi wa Halmashauri na Ofisi ya Madini.

Halikadhalika, katika kuhakikisha upatikanaji wa chakula shuleni, Halmashauri ilinunua kilo 640 za mbegu za mahindi na kuzikabidhi kwa Jumla ya shule 91 za msingi na sekondari ili kuondoa tatizo la utoro, kuongeza mahudhurio na hali ya ufaulu.

Sambamba na shughuli hizo, kitengo kimefanikiwa kununua na kusambaza chuma 20 za kuning’inizia mizani ya kupimia uzito wa Watoto na kufanya mafunzo wezeshi kwa Watoa huduma katika ufuatiliaji wa maendeleo na makuzi ya Watoto chini ya miaka 5.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • MILIONI 206 ZATOLEWA KWA VIKUNDI 31 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WENYE ULEMAVU AWAMU YA KWANZA YA MWAKA 2025/2026

    October 24, 2025
  • MKURUGENZI MKUU TAKUKURU AZINDUA JENGO LA OFISI ZA TAKUKURU NYANG'HWALE

    October 22, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAHIMIZWA KUWAHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI

    October 18, 2025
  • WATENDAJI WA KATA WAJENGEWA UWEZO WA KUSIMAMIA MIRADI KWENYE KATA ZAO

    October 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved