• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

ZOEZI LA UPANDAJI WA MITI 2,000 KANDOKANDO MWA MTO LIGEMBE

Posted on: March 25th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Nyang'hwale, Mhe, Grace Kingalame, leo Machi 25, 2025 ameongoza zoezi la upandaji wa miti 2,000 kandokando ya Mto Ligembe, Kata ya Kakora.

Akizungumza na Wananchi mara baada ya zoezi hilo, amesema huo ni muendelezo wa kutekeleza maelekezo ya Mhe, Dkt, Samia Suluhu Hassan, juu ya kupanda miti 1,500,00 kwa mwaka wa fedha 2024/2025.

Aidha, ameelekeza kuongezeka kwa kasi ya upandaji miti ili kufikia lengo hilo la kupanda miti 1,500,000 kabla ya kuisha kwa mwaka wa fedha 2024/2025.

"Duniani mabadiliko ya Tabia Nchi yanaleta athari nyingi sana, hivyo tukijihakikishia usalama wa mazingira yetu ni sawa na kuwa tumejihakikishia usalama wa maisha yetu" Amesisitiza

Afisa Misitu kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita, Ndg, Tito Mlelwa, amempongeza Mhe, Kingalame na wataalamu kutoka Ofisi ya Mkurugenzi kwa kuwa mstari wa mbele kwenye swala la upandaji wa miti na uhifadhi wa mazingira.

Amesema mpaka hivi sasa Mkoa wa Geita umefanikiwa kupanda idadi ya miti 3,944,126 na katika idadi hiyo, Wilaya ya Nyang'hwale imepanda miti 426,312.

Zoezi la upandaji wa miti limefanyika kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita, Bonde la Ziwa Viktoria na Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira.


Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU HALMASHAURI IMEPOKEA FEDHA TSH. BILIONI 1.1 ZA MIRADI YA MAENDELEO

    May 16, 2025
  • SIKU YA FAMILIA WAZAZI WATAKIWA KUIMARISHA FAMILIA

    May 15, 2025
  • BARRICK NA HALMASHAURI WASAINI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR 2025

    May 13, 2025
  • DAS AWATAKA WAZAZI KULINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

    May 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved