• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

ZOEZI LA UPANDAJI MITI NYANGH’HWALE KUELEKEA MIAKA 61 YA UHURU WA TANZANIA BARA

Posted on: December 8th, 2022

Zoezi la Upandaji  Miti ikiwa na Kuelekea Sherehe za Miaka 61 ya Uhuru ambayo yatafanyika kesho nchi nzima limezinduliwa kiwilaya leo tarehe 08/12/2022 na Katibu Tawala Wilaya ya Nyang'hwale Ndugu Fabian Yinza akimwakilisha Mkuu wa Wilaya kwa kupanda Miti katika eneo la Shule ya Msingi Samia Suluhu Hassan iliyopo Makao Makuu ya Wilaya. Katika zoezi hili Mgeni Rasmi Ndugu Fabian Yinza akisindikizwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Bi Husna Toni.

Mgeni Rasmi aliwahutubia wananchi waliojitokeza kwenye uzinduzi wa zoezi la upandaji Miti na kuwaeleza kuwa kila Wilaya imewekewa lengo la kupanda Miti Milioni Moja na Laki Tano. Alieleza umuhimu wa Upandaji na Utunzaji Miti kwa Maisha ya Wananchi na Taifa kwa ujumla.

Mkurugnzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyanghwale ni Miongoni mwa Viongozi waliopata nafasi ya Kuzungumza na wananchi na kueleza Mikakati ya Halmashauri juu ya upandaji miti. Aliwaeleza wananchi kuwa tayari Miti imeshanunuliwa na kuletwa Wilayani hapo hivyo ni jukumu la Kila Kaya kuapanga na kutunza Miti hiyo kwa ajili ya kutunza mazingira.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU HALMASHAURI IMEPOKEA FEDHA TSH. BILIONI 1.1 ZA MIRADI YA MAENDELEO

    May 16, 2025
  • SIKU YA FAMILIA WAZAZI WATAKIWA KUIMARISHA FAMILIA

    May 15, 2025
  • BARRICK NA HALMASHAURI WASAINI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR 2025

    May 13, 2025
  • DAS AWATAKA WAZAZI KULINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

    May 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved