• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

ZIARA YA KAMATI YA SIASA MKOA

Posted on: January 13th, 2022

Kamati ya siasa ya chama cha Mapinduzi mkoa wa Geita Januari 13, 2022 ilifanya ziara wilayani Nyang’hwale kukagua utekelezaji wa shughuli mbalimbali za serikali kwenye sekta ya Elimu, Afya na Maji.

Akizungumza kwenye ukaguzi wa shule shikizi ya nyanshilanga, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Alhaji Said Kalidushi amewapongeza viongozi wa wilaya ya nyanghwale kwa usimamizi mzuri na kutekeleza kwa ubora ujenzi wa shule hiyo na amesisitiza kukamilisha madarasa mengine yaliyojengwa kwa nguvu za wananchi kwenye shule hiyo.

Mwalimu mlezi wa shule hiyo ambaye pia ni mwl mkuu wa shule ya Itetemia akisoma taarifa ya mradi huo amesema Shule hiyo ilipokea milioni 60 za mpango wa Maendeleo na ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya uviko 19 zimejenga madarasa 3 ambayo yatapunguza msongamano wa wanafunzi darasani.

Vile vile, kamati ya siasa imekagua ujenzi wa kituo cha afya nyijundu kinachorajiwa kuhudumia wakazi zaidi ya elfu 57 kitakapokamilia Januari 30, 2022 kwa gharama Tshs. 250 Milioni zilizotokana na tozo za simu. Aidha kamati imeshauri kuwekwa mipaka katika eneo hiyo linalozunguzwa na wakazi wa kijiji cha nyijundu ili kuondoa migogoro ya ardhi.

Kamati ya siasa mkoa pia imekaguza kikundi cha Twiyambe kilichopo kijiji cha kharumwa kinachojihusisha na shughuli za ushonaji nguo. Mbele ya kamati kikundi hicho kilishukuru uongozi wa Halmashauri kwa kuwakopesha Tshs. Milioni 3 kwa mwaka 2021 ambazo zimewasaidia kukuza mtaji wao.

Kamati pia ilikagua booster ya maji kijiji cha Izunya, “kijiji hiki (Izunya) kinatarajiwa kuanza kupata huduma ya maji tarehe 10 Februari na zaidi ya vituo 80 vya kuchotea maji vimetengenezwa. Kazi iliyobaki kwenye mradi huu ni kufukia bomba za kuchimba mtaro kwenye baadhi ya sehemu” alisema Eng Sebastian Robert.

Announcements

  • TANGAZO LA USAFI WA MAZINGIRA SIKU YA JUMAMOSI July 28, 2022
  • WALIOITWA SEMINA YA SENSA July 28, 2022
  • TANGAZO LA USAILI WA KAZI ZA SENSA July 18, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2020 February 01, 2021
  • View All

Latest News

  • MKUTANO WA BARAZA MAALUM LA KUJADILI HOJA ZA CAG

    June 21, 2022
  • ZIARA YA MANAGER MGODI WA BULYAHULU WILAYA YA NYANG'HWALE

    June 20, 2022
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA TATU

    May 11, 2022
  • ZIARA YA WAJUMBE WA ALAT MKOA

    April 29, 2022
  • View All

Video

Ligi daraja la tatu
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved