• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

ZIARA YA KAMATI YA FEDHA UTAWALA NA MIPANGO YA HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANG'HWALE - April 2023

Posted on: April 21st, 2023

Ziara ya Kamati ya Fedha Utawala na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale imefanyika Kwa siku mbili (2) tarehe 20 na 21/04/2023. 

Ziara hiyo iliyoongozwa na Mwenyekiti wa Kamati Hiyo ambea pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale Mhe. John I. John imetembelea na Kukagua Miradi ya Maendeleo katika Maeneo Mbalimbali. Miradi iliyotembelewa ni Vifaa Tiba katika Hospitali ya Wilaya, Mgodi wa Isonda, Mradi wa Ukamikishaji wa Nyumba ya Mwalimu Izunya Sekondari, Mradi wa barabara yenye urefu wa km 21 Kayenze - Igeka- Nundu - Nyang'holongo, Ukamikishaji wa chumba kimoja cha darasa shule ya Msingi Iyenze, Ujenzi wa Choo shule ya Msingi Nyakaswi, Kikundi Cha Rich & Happy Environment Org., Siku ya pili ziara ilianzia kwenye Ujenzi wa Private Wodi, Ukamikishaji wa Jengo la Dharula, Ujenzi wa bwalo na jengo la utawala katika shule ya Mchepuo wa Kingereza, Ukamikishaji wa Rumande kituo Cha Polisi Kharumwa, Ukamikishaji wa Maabara ktk Shule ya Sekondari Nyamtukuza-Nhwiga na Mradi wa stendi ya Ikangala

Aidha Kamati imeridhika na Utekelezaji wa Miradi ya Mendeleo inayoletwa na Rais wa Awamu ya Sita Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan na Kusimamiwa Vyema na Mteule wake Bi Husna T. Chambo ambae ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • VIONGOZI WA DINI WAHIMIZWA KUWAHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI

    October 18, 2025
  • WATENDAJI WA KATA WAJENGEWA UWEZO WA KUSIMAMIA MIRADI KWENYE KATA ZAO

    October 10, 2025
  • WANANCHI WATAKIWA KUJIFUNZA ELIMU YA WATU WAZIMA KIDIGITALI ILI KUCHOCHEA MAENDELEO YA TAIFA

    October 10, 2025
  • DC KINGALAME AKABIDHI MBEGU ZA MAHINDI KWA SHULE ZOTE ZA SEKONDARI NA MSINGI

    October 09, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved