• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Wilaya ya Nyang’hwale yaweka Mkakati wa kupata Zahanati kwenye kila kijiji

Posted on: May 9th, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel ameendesha kampeni ya Ujenzi wa Zahanati kila kijiji Wilayani Nyanghwale kwa kushiriki Ujenzi za Msingi wa Zahanati ya Kijiji cha Nyan’holongo pamoja na kuchimba msingi wa Zahanati ya kijiji cha Izunya mapema leo asubuhi.

Mhe. Gabriel amewataka Viongozi wa Wilaya ya Nyang’hwale kutokaa Ofisini kwa sasa badala yake waende vijijini kuhamasisha Ujenzi wa Zahanati za Vijiji pamoja na shughuli zingine za Maendeleo. “Viongozi msikae maofisini kwa sasa ili hadi mwisho wa Mwezi mei kila kijiji kisicho na Zahanati kiwe kimeanzisha Ujenzi na hadi kufikia Mwezi Disemba vijiji vyote viwe vimepata Zahanati”, amesema Mhe. Mkuu wa Mkoa.

Mhe. Mkuu wa Mkoa amesisitiza kuwa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi imeweka wazi nia ya kuboresha Huduma za Afya nchini ambapo inakusudia kuwa na Zahanati kwenye kila kijiji nchini, hivyo naye lazima atekeleze hilo.

Mhe. Mkuu wa Mkoa aliendesha Harambee ya Uchangiaji wa Ujenzi ambapo kijijini Ikangala walijitokeza wawekezaji wawili kutoka sekta ya Madini na kwa pamoja wakamuunga mkono Mkuu wa Mkoa kwa kutoa Matofali elfu moja (1000), Saruji mifuko mia moja (100) na wakaahidi kugharamia Gharama za madirisha ya kisasa ya Vioo na bati za Kuezekea jengo hilo. Wananchi mbalimbali, viongozi wa Serikali ya kijiji, Wakuu wa Idara kutoka Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji, Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi na Kamati ya Ulinzi na Usalama walichangia Ujenzi huo kwenye vijiji vya Nyanh’holongo, Izunya, Ikangala na Nyakaswi.

Aidha, amekemea wananchi wenye tabia za kuwaficha waovu kwenye Jamii zao kama vile wavuta bangi, wanaotia Mimba Wanafunzi na waganga wanaoendesha Ramli chonganishi na kusababisha mauaji ya vikongwe na akaagiza waache tabia hiyo mara moja na ambaye ataendelea na tabia nhizo wananchi wamfichue ili ashughulikiwe kisheria.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved