• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

WATAALAMU WA LISHE WATOA ELIMU YA LISHE BORA

Posted on: June 14th, 2023

Lishe bora ni miongoni mwa sehemu muhimu ya kuzingatiwa katika maisha ya ukuaji wa binadamu. Kimsingi, Lishe Bora ni hali inayotokana na kula mlo kamili na wa kutosha wenye mchanganyiko wa vyakula kutoka katika makundi matano ikiambatana na mazoezi ya mwili.

Zoezi la uelimishaji wa maandalizi ya lishe bora na afya ya chakula limefanyika katika Kijiji cha Nyugwa, Kata ya Nyugwa, katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale. Zoezi hilo limefanyika leo Juni 14,2023 likisimamiwa na Wataalamu wa lishe kutoka Hospitali ya Wilaya ya Nyang’hwale.

Zoezi hilo limehusisha otoaji wa chanjo ya Vitamin A na upimaji wa lishe kwa Watoto, upimaji wa shinikizo la damu (BP) na sukari kwa wazee kuanzia miaka sitini na kuendelea. Pia wataalamu wa lishe walitoa elimu ya kuandaa uji wa lishe hatua kwa hatua kwa ajili ya Watoto.

Afisa Lishe kutoka Hospitali ya Wilaya ya Nyang’hwale, Bw.Tibendakwingana Francis, alieleza kuwa lishe bora inaimarisha afya ya mwili na afya ya akili kwa mtoto. Aliongeza kuwa, lishe bora husaidia hatua za makuzi ya mtoto ili kuendana na umri alionao na kupunguza athari za utapiamlo na udumavu

“Lishe bora inapatikana kwa kula chakula kwa kuzingatia makundi matano ya chakula na mtoto kunywa uji wenye angalau makundi matatu ya chakula. Makundi hayo ni (vyakula vya asili ya Wanyama na jamii ya mikunde), (mbogamboga), (matunda), (Mafuta, sukari na asali), na (mazao ya nafaka, mizizi, na ndizi mbichi)”, alisisitiza

Mwenyekiti wa Kijiji hiko cha Nyugwa aliwashukuru wataalamu hao wa lishe kwa kutumia muda wao kuwapa elimu wananchi wa kijiji hiko na maeneo ya jirani. Amesema kuwa elimu hiyo itasaidia kupunguza athari zitokanazo na uhaba wa elimu hiyo katika jamii.





Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI 53 ZA KUKUSANYA MAPATO KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANGH'WALE June 23, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 03, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • View All

Latest News

  • WAZAZI NA WALEZI WATAKIWA KULINDA HAKI ZA WATOTO

    June 16, 2025
  • NYANG'HWALE YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

    June 11, 2025
  • MILIONI 303 ZATOLEWA KWA VIKUNDI 53 VYA VIJANA, WANAWAKE NA WENYE ULEMAVU AWAMU YA PILI

    June 03, 2025
  • NYANG'HWALE YAZINDUA ZOEZI LA CHANJO DHIDI YA KICHAA CHA MBWA

    June 02, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved