• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

WASIMAMIZI WA MIKOPO NGAZI YA KATA WATAKIWA KUUNDA VIKUNDI VYENYE TIJA

Posted on: October 24th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale Ndg. Husna Toni leo Oktoba 24, 2024 amefungua Mafunzo ya Wasimamizi wa mikopo ya Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu ngazi ya Kata yaliofanyika katika ukumbi wa Halmshauri.

Awali Mkurugenzi Mtendaji amewapongeza Wasimamizi wa Mikopo kwa kupewa mafunzo hayo, na kuwataka kutoa elimu ya kutosha kwa Wananchi kuhusu maboresho yaliyofanywa na Serikali juu yanutaratibu wa utoaji wa mikopo hiyo.

Aidha amewataka Maafisa wa maendeleo ya Jamii kuhakikisha hakuna uundwaji wa vikundi hewa na badala yake wanatakiwa kuwa waaminifu kwenye kusimamia vikundi hivyo.

Halikadhalika Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Ndg. Majagi Maiga amewaeleza Wasimamizi hao Sheria na Kanuni zilizoboreshwa za utoaji Mikopo ambazo zinatakiwa kuzingatiwa kwenye utoaji wa Mikopo hiyo.

Vilevile  Mratibu wa mikopo ya asilimia 10 Mkoa, Ndg. Last Mwakasendile ametoa elimu ya Mwongozo wa Utendaji, Utoaji na Usimamizi wa Mikopo ya vikundi katika mamlaka ya Serikali za Mitaa ya Mwaka 2024, ambapo amesema lazima kuwe na usimamizi mzuri wa kukusanya marejesho.

Mratibu wa Mikopo Mkoa

Sanjari na hayo Hakimu Mfawidhi (W) Mhe. Idran D. Chuvaka amewaapisha Wasimamizi wa Mikopo ngazi ya Kata kiapo cha kutogongana kimaslahi kwenye mikopo ya 10% ya Halmashauri ya Nyang’hwale

Pamoja na mambo mengine, Mratibu wa mikopo ngazi ya Halmashauri Ndg. Yahya Selemani ametoa elimu kuhusu mwongozo wa Wanufaika wa mikopo ambao  umeainisha namna ya kuunda Vikundi, Ujasiriamali, Utatuzi wa Migororo, Andiko la Mradi na namna ya kuomba Mkopo.

Wasimamizi  wa  Mikopo  wakiapa

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU HALMASHAURI IMEPOKEA FEDHA TSH. BILIONI 1.1 ZA MIRADI YA MAENDELEO

    May 16, 2025
  • SIKU YA FAMILIA WAZAZI WATAKIWA KUIMARISHA FAMILIA

    May 15, 2025
  • BARRICK NA HALMASHAURI WASAINI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR 2025

    May 13, 2025
  • DAS AWATAKA WAZAZI KULINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

    May 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved