• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

WANAWAKE WAHIMIZWA KUZINGATIA UMUHIMU WA UNYONYESHAJI WA MAZIWA YA MAMA.

Posted on: August 8th, 2024

Kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale, Afisa Tawala, Ndg. Vitalis Ndunguru amewahimiza Wanawake kuzingatia umuhimu wa unyonyeshaji wa mazwa ya mama ili kuwa na jamii yenye Afya bora kimwili na kiakili.

Hayo yameelezwa jana Agosti 07, 2024 kwenye Kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Unyonyeshaji wa maziwa ya Mama Duniani yaliyofanyika Kiwilaya Kijiji cha Nyijundu Kata ya Nyijundu.

Amesema kuwa iwapo watoto watanyonyeshwa ipasavyo maziwa ya mama, vifo vitapungua kwa kiwango cha asilimia 13 ambacho ni kiwango kikubwa kuliko afua zote za kupunguza vifo vya Watoto.

“Wizara ya Afya inapendekeza Watoto wanyonyeshwe maziwa ya mama pekee katika kipindi cha miezi 6 ya mwanzo bila kuwapa kitu chochote kama vile maji, juisi, chai, mchuzi na vyakula vingine vyovyote” Ameongeza

Aidha, ameitahadharisha jamii kuachana na mila na desturi zinazomfanya Mwanamke kushindwa kunyonyesha Watoto wao kwa kipindi cha miezi 6 bila kumpa chakula kingine chochote.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmshauri ya Wilaya ya Nyang’hwale, Ndg. Husna Toni amesema kuwa unyonyeshaji watoto una faida nyingi ikiwa ni pamoja na kumjenga Mtoto kimwili na kiakili.

Kilele cha maadhmisho hayo kimeenda sambamba na shughuli mbalimbali za upimaji wa afya, uchangiaji wa damu, bonanza la mchezo wa mpira wa miguu, na tathmini ya upimaji wa hali ya lishe kwa Watoto.

Maadhimisho ya Wiki ya Unyonyeshaji wa Maziwa ya Mama Duniani 2024 yamechagizwa na kauli mbiu isemayo “Tatua Changamoto Kufanikisha Unyonyeshaji”.









Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved