• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Wanaume Nyang’hwale watakiwa kupima Afya zao

Posted on: December 1st, 2018

Kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale, Afisa Tarafa wa Bukwimba Bi. Zafaran Yusuf amewasihi wananchi wa Wilaya ya Nyang’hwale kupima Afya zao ili wajitambue na kuweza kuishi kwa mpango.

Akizungumza kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Isonda wakati wa Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI kiwilaya Bi Zafaran amesema wanaume wamekuwa wazito sana kupima Afya zao hata wake zao wanapokuwa Wajawazito na kusababisha maambukizi kuyaeneza.

Aidha amepiga marufuku Mara moja zikomeshwe shughuli za Musiki wa Usiku vijijini maarufu kama ‘Disko Vumbi’   kwani tafiti zinaonesha kuwa shughuli hizo zinachangia sana Kueneza Maambukizi ya UKIMWI na Magonjwa ya Zinaa.

Bi. Zafaran ametumia fursa hiyo pia kuwahimiza wananchi wa Kijiji cha Isonda kuharakisha Ujenzi wa Zahanati ya kijiji hicho hadi hatua ya Boma kufikia Disemba Thelathini wawe wamemaliza ili kuwahi Agiza la Mhe. Mkuu wa Mkoa la Zahanati kila kijiji mpaka June 2019.

Ametumia fursa hiyo kuwaasa wananchi kuacha tabia ya kuwanyanyapaa waathirika wa Virusi vya UKIMWI kwani hilo ni tatizo la wote na yeyote laweza kumpata hivyo ni vibaya kuwatenga na Jamii inapaswa kuwapenda na kuwatia moyo.

Vile vile amemuagiza Mganga Mkuu wa Wilaya kuhakikisha Wilayani humo kunakua na Upatikanaji wa Urahisi wa Dawa za kufubaza Makali ya Virusi vya Ukimwi pamoja na Mipira ya Kiume (KONDOMU) ipatikane sehemu zote zenye mikusanyiko ya watu kama kwenye Migodi modogo na kwenye vituo vya kutolea Huduma za Afya.

Afisa Elimu Msingi wa Wilaya Ndugu Nassor Hamis, kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri alitoa Taarifa ya Maambukizi Kiwilaya ni asilimia 1. 8% ambapo maambukizi ya Virusi vya UKIMWI yamepungua Wilayani humo ukilinganisha na mwaka 2017 ambapo yalikuwa ni asilimia 3.7%.

Aidha, alibainisha kuwa Migogoro ya Kijamii, vifo vya waathirika na Umasikini wa Famlilia ni Miongoni mwa sababu za Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi Wilayani humo.

Awali akitoa salamu za ukaribisho Mhe. Ndozi Masanja, Diwani wa kata ya Nyugwa aliwasihi wananchi wa kata hiyo kusikiliza kwa makini maagizo ya Viongozi kwenye maadhimisho hayo.

Kauli mbiu ya maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani mwaka 2018 inasema PIMA, JITAMBUE, ISHI.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved