• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

WANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA KWA WINGI KUJIANDIKISHA KWENYE ORODHA YA DAFTARI LA WAPIGA KURA.

Posted on: October 12th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Nyang'hwale Mhe. Grace Kingalame leo Oktoba 12, 2024 amezindua zoezi la kujiandikisha kwenye orodha ya daftari la Wapiga Kura wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 katika kituo cha Shule ya Msingi Kharumwa.

Mkuu wa Wilaya ya Nyang'hwale, Mhe. Grace Kingalame (kushoto) akijiandikisha kenye orodha ya daftari la Wapiga kura

Akiongea mara baada kujiandikisha Mhe, Kingalame amesema amefurahi kukamilisha zoezi hilo linalompa sifa ya kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa ifikapo Novemba 27, 2024  

"Nimefurahi kujiandikisha kwa kuwa na mimi nitatimiza haki yangu ya kikatiba ya kupiga kura na kuchagua Viongozi ambao watatuongoza kwa muda wa miaka mitano ijayo kuanzia mwaka huu” Amesema

Aidha, ametoa wito kwa Wananchi wa Wilaya ya Nyang'hwale wajitokeze kwa wingi na watumie vizuri muda wa siku kumi zilizotengwa kuanzia Oktoba 11 hadi Oktoba 20, 2024  kujiandikisha ili waweze kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Mkuu wa Wilaya ya Nyang'hwale, Mhe. Grace Kingalame akiwa kwenye foleni ya kujiandikisha kenye orodha ya daftari la Wapiga kura

Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Nyang'hwale Ndg. Husna Toni amesema Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale inatarajia kuandikisha Wapiga Kura zaidi ya Laki moja na ameendelea kutoa wito kwa Wananchi kujitokeza kwenye zoezi hilo.

Msimamizi wa uchaguzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale, Ndg. Husna Toni 

akizungumza na Wananchi wakati wa uzinduzi wa zoezi la uandikishaji

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved