• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

WANANCHI WATAKIWA KUIUNGA MKONO SERIKALI KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: August 26th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale Mhe. Grace Kingalame leo Agosti 26, 2024 amewataka Wananchi Wilayani Nyang’hwale kuunga mkono juhudi za Serikali kwenye ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo.

Ameyasema hayo alipofanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo na kufanya mikutano ya hadhara ya kusikiliza na kutatua kero za Wananchi wa Kata ya Nyijundu na Kata ya Kharumwa.

Akiwa kwenye mradi wa ujenzi wa matundu ya vyoo 16 Shule ya Msingi Nyarubele ambao umekamilika kwa asilimia 98, amewapongeza Wananchi wa Kijiji hicho kwa ushirikiano wao uliofanikisha ujenzi huo.

Aidha amewataka Wananchi hao kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya sita kwa kuhakikisha wanawapeleka Watoto kupata elimu kwa sababu mazingira ya kutolea elimu yameboreshwa kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na hapo awali.

Aidha, alipokua kwenye Mkutano wa hadhara Kata ya Kharumwa, amesisitiza umuhimu wa Wananchi kushiriki kwenye ujenzi wa miradi ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa kwenye maeneo mbalimbali ya Kata hiyo.

“Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameleta fedha nyingi za ujenzi wa miundombinu ya kutolea huduma ya Elimu na Afya kwenye Wilaya yetu, kwa mwaka wa fedha ulioisha Juni 2024 pekee tumepokea zaidi ya Bilioni 7” Amesema Mhe. Kingalame

Pamoja na mambo mengine, amewataka Wananchi kushiriki kikamilifu kwenye zoezi la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kuhakikisha Wanachagua viongozi bora wenye kujali maslahi ya Wananchi.











Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved