• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

WANANCHI WAPEWA ELIMU YA UIBUAJI WA MIRADI YENYE TIJA

Posted on: October 16th, 2024

Kaimu Mkurugenzi  Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale Ndg.  Agatha Pastory leo Oktoba 15, 2024 amefungua Mafunzo ya utoaji wa Elimu ya Uibuaji wa Miradi yenye tija kwa kutumia fedha za CSR mwaka 2025.

Afisa maendeleo kutoka mgodi wa Bulyanhulu Ndg (Marry Lupamba) akitoa mafunzo

Mafunzo hayo yaliyotolewa katika Zahanati na Kijiji cha Mwingiro kwa kushirikiana na Mgodi wa Barrick Bulyanhulu yamelenga kuwawezesha Wananchi wa Kata ya Mwingiro kutambua na kuibua Miradi yenye tija itakayowanufaisha Wananchi.

Wa kwanza kulia ni diwani wa kata ya Mwingiro Mhe (Khamis Temela) akisikiliza mafunzo

Aidha Wananchi wa Kijiji hicho wameainisha baadhi ya maeneo ambayo wameona yana uhitaji mkubwa wa kufanyiwa kazi  ikiwemo nyumba za watumishi wa sekta ya Afya na Elimu, Soko na huduma ya maji.

Afisa Mipango na katibu wa CSR, Ndg ( Angel Kiwia) Akitoa mafunzo

Diwani wa kata ya Mwingiliano Mhe. Khamis Temela amesema kata yake itashirikiana vyema na wawekezaji hao kampuni ya Barrick Bulyanhulu katika kusimamia miradi itakayotekelezwa ili jamii iweze kufaidika na rasilimali zinazowazunguka.

Wananchi wakipokea mafunzo ya uibuaji miradi ya CSR yenye tija

Sambamba na hayo Kaimu Mkurugenzi amewasisitiza Wananchi kuendelea kujiandikisha kwenye orodha ya daftari la wapigakura ili wawe na sifa ya kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ifikapo Novemba 27, 2024.

Afisa Uhusiano kutoka mgodi wa Bhulyanhulu Ndg William Chungu akitoa mafunzo

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved