• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

Posted on: April 24th, 2025

Mwenyekiti wa Kamati ya Lishe Wilaya ambae pia ni Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale Ndg, Ezekiel Ntiriyo, leo Aprili 24,2025, amepokea taarifa ya utekelezaji wa shughuli za lishe kwa Kipindi cha robo ya tatu kuanzia Januari hadi Machi 2025.

Afisa Lishe (W) Ndg, Furaha Nicholaus, amesema zimefanyika shughuli mbalimbali ikiwemo kutoa mafunzo kwa wahudumu wa afya ngazi ya jamii ambapo jumla ya wahudumu 62 wamepatiwa mafunzo ya lishe bora. Kati ya hao, 19 wanawake na 43 wanaume, lengo ikiwa ni kuwajengea uwezo katika kutekeleza shughuli zinazohusiana na masuala ya lishe.

Pia, elimu imetolewa kwa watu wanaonufaika na Mpango wa TASAF ambapo jumla ya wanufaika 76 kutoka Kijiji cha Busengwa wamepatiwa elimu juu ya ulaji unaofaa, Elimu ya unyonyeshaji kwa watu wanaoishi na maambukizi ya VVU, na Kuzingatia mlo kamili wenye makundi sita ya chakula ili kuimarisha kinga za Mwili na Afya zao.

Halikadhalika, Jumla ya Wananchi 223 wa Kijiji cha Ibambila kupitia Mkutano wa hadhara wamepatiwa elimu ya namna ya kuzigatia lishe bora kwa watu wenye magonjwa ya kuambukizwa, na namna sahihi ya kujikinga na magonjwa yasiyoambukizwa.

Kaimu Mkurugenzi Ndg. Ntiriyo amekielekeza kitengo cha Lishe kiongeze juhudi katika kuunda Klabu za lishe Shuleni ambapo kupitia klabu hizo Wanafunzi watajengewa uwezo juu ya umuhimu wa kuzingatia lishe bora.

Pamoja na mambo mengine amemuelekeza Afisa Lishe kutoa elimu kwa Watumishi hasa wanapokutana katika matukio yanayowaunganisha pamoja kama vile Mabonanza, Sherehe za Mei Mosi na maadhimisho mengine ikiwa lengo ni kujikinga na Magonjwa yasiyoambukizwa.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved