• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

WANANCHI WAKABIDHIWA MRADI WA DARASA ULIOJENGWA NA MGODI WA SHIBALANGA GOLD MINE

Posted on: January 14th, 2025

Kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale, Mwanasheria wa Wilaya, Wakili Ambakisye Osiah leo Januari 14, 2025 amekabidhi chumba cha Darasa kwa Wananchi wa Kijiji cha Shibalanga lililojengwa kwa Fedha za CSR kutoka Shibalanga Gold Mine.

Akiongea katika hafla hiyo Wakili Ambakisye Osiah amewapongeza Shibalanga Gold Mine kwa ujenzi na usimamizi wa Darasa hilo ambalo litapunguza changamoto ya msongamano wa Wanafunzi darasani.

Pia ameupongeza uongozi wa Shule pamoja na uongozi wa Kijiji kwa ushirikiano walioutoa kwa Mgodi wa Shibalanga Gold Mine kukamilisha ujenzi wa dara hilo.

Mradi wa ujenzi wa Darasa ulianza kutelekezwa tarehe 18/08/2024 katika Shule ya Msingi Shibalanga chini ya udhamini wa Mgodi wa Shibalanga Gold Mine wakiwa Wasimamizi wakuu wa mradi huo uliojengwa kwa gharama ya Tsh 18,896,000/= kwa kushirikiana na Uongozi wa Kijiji na Shule.

Aidha, Diwani wa Kata ya Kaboha Mhe, Charles Masanyiwa ameishukuru Kampuni ya Shibalanga Gold Mine kwa kujenga Darasa hilo. Pia ametumia fursa hiyo kuwaomba Wadau wengine wa maendeleo kujitoa kwa Jamii katika mambo mbalimbali ili kuendeleza ushirikiano baina ya Kampuni na Jamii.




Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved