• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

WAGANGA WAFAWIDHI WA VITUO VYA AFYA NA ZAHANATI WAPATA MAFUNZO YA MFUMO WA UHASIBU WA FEDHA NA UTOAJI TAARIFA (FFARS NA PLANREP)

Posted on: December 7th, 2024

WAGANGA WAFAWIDHI WA VITUO VYA AFYA NA ZAHANATI WAPATA MAFUNZO YA MFUMO WA UHASIBU WA FEDHA NA UTOAJI TAARIFA (FFARS NA PLANREP.)

Kwa niaba ya Afisa Mipango wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale, Mchumi, Ndg. Angela Kiwia jana Desemba 06, 2024. ameratibu mafunzo ya mfumo mpya wa FFARS na Planrep Kwa Waganga Wafawidhi wa Vituo vya afya na Zahanati kwa ajili ya maandalizi ya bajeti ya mwaka 2025/2026 yaliyofanyika katika jengo la Utawala la Hospitali ya wilaya.

Akizungumza kwenye mafunzo hayo Ndg. Angela Kiwia amewasisitiza Waganga Wafawidhi kutumia mifumo mipya iliyowekwa ili kusimamia vizuri Fedha zinazotolewa na Serikali na kuweka mipango kazi katika vituo wanavyofanyia kazi ili kuleta tija na ufanisi katika utendaji wa kazi.

Aidha Wafawidhi hao walipata elimu ya mfumo wa Ffars kutoka kwa Mhasibu Ndg. Katabanya Majembe ambaye alieleza jinsi mfumo huo unavyofanya kazi kwenye kupokea Fedha na kutumia Fedha kwa kutumia mfumo.

Vilevile Katibu wa Afya Wilaya Ndg. Mohamed Hassan ameelekeza jinsi mfumo wa Planrep unavyofanya kazi ambapo ameelezea jinsi ya kuweka mpango kazi na kupata taarifa zote za kiafya katika kila Kituo cha afya na Zahanati.




Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved