- Home
- About Us
-
Adminstration
- Organisation Structure
-
Departments
- Administration and Human Resources
- Solid Waste and Environmental Management
- Finance and Trade
- Planning, Statistics and Monitoring
- Community Development, Gender and Youth
- Secondary Education
- Primary Education
- Agriculture, Irrigation and Co-operative
- Health
- Water
- Land and Natural Resources
- Liverstock and Fisheries
- Works
- Units
- Investment Opportunities
- Our Services
- Madiwani
- Projects
- Publications
- Media Center
Wafanyakazi wa Hospitali ya Wilaya ya Nyang'hwale wamesherekea siku ya Uhuru wa Tanzania Bara Kwa kufanya usafi kwenye eneo la Hospitali ya Wilaya. Pamoja na usafi wa Mazingira wameshiriki zoezi la Kupanda Miti kwenye eneo la Hospitali. Akiongea na Kitengo Cha Mawasiliano Serikalini (W) Mganga Mfawidhi Dkt. Princepius Migishagwe ameaidi kuitunza Miti hiyo.

