• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Wafanyakazi watakiwa kufanya kazi kwa Bidii na Maarifa

Posted on: May 2nd, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Geita, Eng, Gabriel Luhumbi amewataka Wafanyakazi wa Mkoa wa Geita kufanya kazi kwa Bidii na Maarifa ili kuwaletea Wananchi Maendeleo. Amesema hayo jana wakati akihutubia Wafanyakazi wa Mkoa wa Geita kwenye Viwanja vya Shule ya Msingi Kalangalala alipokua Mgeni Rasmi kwenye Sikukuu ya Mei Mosi.

Mhe. Luhumbi amewasihi Watumishi Hodari wa kuendelea kujituma kwenye maeneo yao ya kazi na wengine waige tabia hiyo ili pamoja na kuboresha huduma kwa Jamii lakni pia watatambuliwa na kutunukiwa mwakani kama wenzao.

Aidha, amewakumbusha wafanyakazai kuwa wana jukumu kubwa la Kuhakikisha Jamii inayowazunguka wanapata Huduma bora ktutoka kwao hivyo kila mmoja ahakikishe anafanya kazi kwa weledi na Nidhamu ya Juu ili kuleta matokeo chanjya na kuwatendea haki waliowaajili.

Kwa Wilayani Nyang’hwale, Mhe. Mkuu wa Mkoa amewatunuku Vyeti pamoja na Hundi Ndugu.  Paulo Zahoro, Afisa Habari, Ndugu. Mlomi Kilonzo, Afisa Kilimo, Ndugu. Nimpaye Nyambaro, Mwalimu, na Bi. Eliesta Lyangani, Mkaguzi wa Ndani, kwa kuibuka kuwa Watumishi Hodari. Wengine ni Ndugu. Method Lily, Afisa Ugavi Msaidizi, Ndugu. Elias Kifulila, Afisa Ugani Mifugo, Ndugu. Alex Shabo, Mwandishi wa Vikao pamoja na Bi. Ester Selemani, Afisa Maendeleo Msaidizi.

Akijibu Risala kuhusu Mikataba makazini ameagiza waajiri kwenye makampuni ya Ulinzi kutoa mikataba ya ajira kabla ya kuajiri Mlinzi na wajiri wataokiuka agizo hilo atawachukulia Hatua kali za kisheria ili kukomesha tabia hiyo inayowanyima haki waajiriwa.

Amekemea pia tabia ya waajiri kuajiri Watoto wadogo hasa kwenye Migodi na akaahidi kulifuatilia suala hilo na atakayepatikana kufanya kosa hilo atachukuliwa hatua kali za kisheria.

Kuhusu Mimba na utoro Mashuleni Mhe. Mkuu wa Mkoa alisema kuanzia sasa atawakamata wahusika wote kuanzia wazazi, walezi na wote wanaosababisha kwa makusudi kumkosesha Elimu Mtoto wa kike kuwa kuwapa ujauzito na Utoro.

Kuhusu mauaji ya Vikonmgwe na Wanawake alisema, atazungukia Mkoa wote kuwatambua na kuwachukulia hatua za kisheria waganga wa jadi wanaoendesha shughuli zao pasipo kusajiliwa kwani ndio wanafanya Ramli chonganishi kwenye Jamii na kupelekea mauaji.

Wakati akimshukuru Mhe. Mkuu wa mkoa kwa kukubali kuwa Mgeni Rasmi kwenye maadhimisho hayo, Msoma Risala alitumia wasaa huo kumpongeza kwa kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa na alimkaribisha  Mkoani Geita kwani ameteuliwa siku za karibuni kuongoza mkoa we Geita na ameleta mabadiliko makubwa sana ya kimaendeleo.

Maadhimisho hayo yalipambwa na Michezo mbalimbali ambapo kwa Upande wa kukimbiza kuku Mwanachama wa TAMICO alishinda kwa Wanawake na Mwanachama wa TUGHE alishinda kwa wanaume. Vilevile, Wanawake wa GGM walishinda kuvuta kama dhidi ya wapinzani wao TANESCO. TUICO tena Wanawake waliwabwaga Wanawake wa TALGWU kwenye kuvuta kamba.

Maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani yalianza karne ya Ishirini wakati wa Mapinduzi ya Viwanda Barani Ulaya walipokuwa wakipinga manyanyaso kwa Wafanyakazi Viwandani.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved