• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

WADAU WATOA USHAURI UHAMASISHAJI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Posted on: July 29th, 2024

WADAU WATOA USHAURI UHAMASISHAJI WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Nyang’hwale Ndg. Husna Toni leo Julai 29, 2024 amekutana na kuzungumza na Wadau wa Uchaguzi juu ya uhamasishaji kuelekea zoezi la Uboreshaji wa daftari la kudumu la Wapiga Kura.

Amesema kuwa kwa Mkoa wa Geita zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura litafanyika kwa siku saba kuanzia Agosti 05, 2024 hadi Agosti 11, 2024.

Amesema kuwa Jimbo la Nyang'hwale lina jumla ya Idadi ya Vituo vya kujiandikishia 201, ambapo kati ya hivyo 62 ni vya wazi na 139 vipo kwenye majengo. Vituo hivyo vitafunguliwa kuanzia Saa 2:00 Asubuhi na kufungwa Saa 12:00 Jioni.

Katika kila Kituo cha kujiandikishia kutakua na Watendaji wawili, yaani Mwandishi Msaidizi na Mwendeshaji wa Kifaa cha Bayometriki. Ameongeza kuwa kutakuwa na Watendaji 62 wa akiba Wilaya nzima.

“Katika kituo kutakuwa na wakala mmoja wa kila Chama cha Siasa na kutakuwa na mabango yatakayoelekeza vituo vilipo ili iwe rahisi kwa Mwananchi kufika na kujiandikisha” Amesema Ndg. Husna Toni

“Wanaotarajiwa kuandikishwa ni pamoja na waliofika umri wa miaka 18 au zaidi, watakaofika umri wa miaka 18 kabla au wakati wa uchaguzi, waliohamia, waliopoteza kadi au kadi zilizoharibika, na wanaofanya marekebisho ya taarifa zao” Amefafanua

Kauli mbiu ya Zoezi la Undikishaji 2024 inasema “Kujiandikisha Kuwa Mpiga Kura Ni Msingi Wa Msingi Wa Uchaguzi Bora”








Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI 53 ZA KUKUSANYA MAPATO KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANGH'WALE June 23, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 03, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • View All

Latest News

  • WAZAZI NA WALEZI WATAKIWA KULINDA HAKI ZA WATOTO

    June 16, 2025
  • NYANG'HWALE YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

    June 11, 2025
  • MILIONI 303 ZATOLEWA KWA VIKUNDI 53 VYA VIJANA, WANAWAKE NA WENYE ULEMAVU AWAMU YA PILI

    June 03, 2025
  • NYANG'HWALE YAZINDUA ZOEZI LA CHANJO DHIDI YA KICHAA CHA MBWA

    June 02, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved