• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

WADAU WATOA MAONI DIRA YA MAENDELEO YA TAIFA 2050

Posted on: July 20th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale, Mhe. Grace Kingalame akiwa sambamba na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya leo Julai 20, ameongoza kikao cha kutoa maoni ya wadau mbalimbali kuhusu Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale.

Kikao hiko kimehudhuriwa pia na Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Nyang’hwale, Bi Husna Toni, Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri, John I. John, Waheshimiwa Madiwani, Viongozi mbalimbali wa Taasisi za Serikali na Mashirika ya Umma, Viongozi wa dini, wadau mbalimbali na wananchi kwa ujumla.

Wajumbe wa Sekretarieti ya Maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 walianza kwa kutaka kupata uelewa wa Washiriki wa kikao hiko juu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo. Wadau mbalimbali walichangia namna wanavyoelewa juu ya tafsiri ya Dira ya Taifa ya Maendeleo.

Mmoja wa washiriki wa kikao hiko alieleza kuwa Dira ya Taifa ya Maendeleo ni muongozo unaotoa taswira ya wapi nchi ilipotoka, ilipo hivi sasa na inakoelekea kwa siku zijazo. Hivyo basi ni Muhimu kwa Nchi kuwa na Dira ya Taifa.

Aidha, Washiriki waliainisha baadhi ya mafanikio yaliyofikiwa katika Dira ya Taifa iliyopita ambayo ukomo wake utakua ifikapo 2025. Mafanikio hayo ni pamoja na kuendelea kuboreka kwa sekta ya Miundombinu, Elimu, Afya na Amani.

Sambamba na mafanikio hayo, pia kuna baadhi changamoto zilizoelezwa ambazo wadau wameshauri zifanyiwe kazi ili kuweza kufikia malengo ya Dira ya Maendeleo ijayo ya 2050. Baadhi ya changamoto hizo ni pamoja na Tatizo la ajira, Upungufu wa vifaa tiba kwenye vituo vyetu vya Afya, Zahanati, Hospitali, na mmomonyoko wa maadili.

Pamoja na mambo mengine washiriki walipata nafasi ya kuainisha namna ya kutatua changamoto zilizojitokeza kwenye Dira inayoishia 2025, na kushauri vipaumbele kwenye Dira ya Maendeleo ijayo ya 2050. Vipaumbele hivyo ni pamoja na Elimu, Afya, Nishati, Kilimo cha kisasa na kuimarisha miundombinu.

Hivyo, Wadau walimalizia kwa kushauri mikakati inayofaa kwa ajili ya Dira ya maendeleo ya 2050. Amabapo, mikakati hiyo ni pamoja na kuwa na teknolojia ya kisasa, kudhibiti upotevu wa rasilimali na Kutumia vizuri rasilimali zilizopo kukuza pato la Taifa ili kupunguza utegemezi.

Ili kutoa maoni yako popote ulipo kwa kutumia simu yako, Bofya *152*00# kisha “OK”, hapo utapokea utaratibu wa kutoa maoni yako kwa Dira ya Maendeleo 2050.




Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU HALMASHAURI IMEPOKEA FEDHA TSH. BILIONI 1.1 ZA MIRADI YA MAENDELEO

    May 16, 2025
  • SIKU YA FAMILIA WAZAZI WATAKIWA KUIMARISHA FAMILIA

    May 15, 2025
  • BARRICK NA HALMASHAURI WASAINI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR 2025

    May 13, 2025
  • DAS AWATAKA WAZAZI KULINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

    May 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved