• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

WABUNGE WA MKOA WA GEITA WAUNGURUMA WILAYANI NYANGHWALE

Posted on: August 13th, 2023

Wabunge wa majimbo ya mkoa wa Geita kupitia mkutano wa hadhara jana Agosti 13, 2023 wamezungumza na wananchi wa Kata ya Nyang’hwale, Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita.

Wabunge hao ni Mhe. Hussein Nassor Amar Mbunge wa Nyang’hwale, Mhe. Bryson Magesa Mbunge wa Busanda, Mhe. Merdan Kalemani Mbunge wa Chato, Mhe. Constantine Kanyasu Mbunge wa Geita Mjini, Mhe. Nicodemas Maganga Mbunge wa Mbogwe, na Mhe. Doto Biteko Waziri wa Madini na Mbunge wa Bukombe.  

Mbunge wa Nyanghwale, Mhe. Nassor aliwaeleza wananchi hatua mbalimbali za mafanikio ya serikali katika kuwaletea maendeleo wanachi wa Nyang’hwale kupitia miradi mbalimbali inayoendelea kutekelezwa jimboni kwake.

“Kwa mwaka wa fedha 2022/2023 Jimbo la Nyang’hwale tumeweza kuingiziwa fedha zaidi ya Bilioni kumi na tano, milioni mia tano na kumi na nne, fedha ambazo zimetumika kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo” amesema Mhe. Nassor.

Tunajua kwenye elimu kuna shida kubwa ya upungufu wa madarasa, madawati, na nyumba za walimu. Lakini tumeweza kupunguza kero hizo kwa mwaka huu wa fedha ulioisha 2022/2023 kwa kuelekeza Tshs. Bilioni 4.6 kwenye sekta ya elimu. Aliongeza Mhe. Kassu.

Mhe. Nassor aliendelea kusema kwa mwaka wa fedha 2022/2023 Tshs. Bilioni 1.4 ilitumika kwenye miundombinu ya afya, Tshs. Milioni 238.8 kwa ajili ya kukopesha vikundi vya vijana, akina mama na watu wenye ulemavu, na Tsh Miloni 74.8 za mfuko wa jimbo kwa ajili ya kuchochea maendeleo ya wananchi.

Nao wabunge wengine wote wamewapongeza wananchi wa Nyang’hwale kwa hatua ya maendeleo waliyofikia hivi sasa ukilinganisha na hali ilivyokua hapo awali. Sambamba na hilo wamempongeza pia Mhe. Nassor kwa kuhakikisha anafanya kila juhudi kuwaletea maendeleo wananchi wake.

Mkuu wa Mkoa wa geita Mhe. Martine Shigela amewashukuru wananchi kwa kujitokeza kwa wingi na kuwapongeza wabunge wote wa mkoa wa Geita kwa kujidhatiti kuwaletea wananchi hao maendeleo katika sekta zote ikiwemo Afya, Elimu, Maji, Barabara na Nishati ya umeme.







Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved