• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

VYAMA VYA SIASA VYATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA NCHI

Posted on: October 23rd, 2024

Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 27, 2024, Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa imevitaka vyama vya siasa Wilaya ya Nyang’hwale kufanya shughuli zao kwa kuzingatia Sheria za Nchi zikiwemo Sheria za uchaguzi na Sheria zote zinazosimamiwa na Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa.

Hayo yameelezwa leo Oktoba 23, 2024 na Afisa Sheria kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Ndg. Dinna Mcharo alipokutana na viongozi wa vyama vya siasa wilaya ya Nyang’hwale katika ukumbi mdogo wa mikutano wa Halmashauri.

Ndg. Dinna amesema kuwa kipindi hiki cha maandalizi ya kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa vyama vya siasa vina wajibu wa kuheshimu sheria zinazosimamia uchaguzi pamoja na kuzingatia kanuni za maadili ya vyama vya siasa na kanuni za kuratibu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa.

“Ni wajibu wa chama cha siasa kulaani, kuepuka na kuchukua hatua zinazofaa kwa mujibu wa sheria ili kuzuia au kuepusha vitendo vya vurugu, kutumia nguvu, matumizi ya lugha za matusi, uvunjifu wa amani na ukandamizaji wa aina yoyote” Amesema

“Kutotoa maneno au maandishi ya uongo dhidi ya mtu au chama kingine, Kujiepusha na vitendo vya rushwa na vitendo vya ubaguzi wa aina yoyote” Ameongeza

Pamoja na mambo mengine ameeeleza kuwa Chama cha siasa hakipaswi kunadi sera zinazopingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katiba ya Zanzibar na Sheria nyengine za Nchi.

Mratibu wa Uchaguzi Mkoa wa Geita, Innocent Mabiki, amevishukuru vyama vya siasa kwa ushirikiano mkubwa unaoonyeshwa na vyama hivyo mpaka sasa, hasa katika zoezi la uandikishaji lililokamilika hivi karibuni.

Katibu Tawala Wilaya ya Nyang’hwale, Ndg. Kaunga Omari amewaasa viongozi wa vyama vya siasa kuzingatia Sheria za Nchi na kunadi sera safi zenye kujiepusha na vitendo vya ubaguzi wa aina yoyote na na uvunjifu wa amani.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU HALMASHAURI IMEPOKEA FEDHA TSH. BILIONI 1.1 ZA MIRADI YA MAENDELEO

    May 16, 2025
  • SIKU YA FAMILIA WAZAZI WATAKIWA KUIMARISHA FAMILIA

    May 15, 2025
  • BARRICK NA HALMASHAURI WASAINI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR 2025

    May 13, 2025
  • DAS AWATAKA WAZAZI KULINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

    May 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved