• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

VIONGOZI WA KIJIJI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU

Posted on: February 28th, 2025

Afisa Tawala wa Halmashauri ya Wilya ya Nyang’hwale Ndg. Jenes Katabalo, jana Februari 27, 2025 ameongoza mafunzo ya Viongozi katika ngazi ya Kijiji na Vitongoji kwa uongozi wa Halmashauri ya Kijiji cha Ikangala.

Akiwa katika mafunzo hayo, Afisa Tawala ameelezea uendeshaji wa shughuli za Serikali za Mitaa katika ngazi ya Kijiji na Kitongoji ambapo amewataka viongozi wa Halmashauri ya Kijiji kujua vizuri majukumu yao ili kufanya kazi kwa ufanisi na uadilifu.

Aidha, Afisa wa TAKUKURU Ndg. Gift Malima amewataka Viongozi wa Halmashauri ya Kijiji kufanya kazi kwa kufuata maadili ili kujiepusha na vitendo vya rushwa na amewataka viongozi kuheshimu sheria zote za Nchi ili kufanya maamuzi yaliyo sawa kwa watu wote.

Vilevile, Afisa Sheria, Wakili Zaujia Shemnga ameelezea namna Halmashauri ya Kijiji inavyotakiwa kutunga Sheria ndogondogo za Kijiji ambapo amesema Halmashauri ya Kijiji inavyotaka kutunga Sheria ni lazima kuhusisha Wananchi kushiriki katika kutunga Sheria hizo kwa kuita mkutano wa hadhara.

Halikadhalika, Afisa Ardhi Ndg. Julius Mboya ameelezea namna ya kufuta sheria kwenye uuzaji wa ardhi ili kuepusha migogoro ya Ardhi ambapo kila Ardhi inayotakiwa kuuzwa katika Kijiji ni lazima uongozi wa Halmashauri ya Kijiji uhusishwe kwenye uuzaji ili kudhibiti matumizi ya Ardhi.




Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI 53 ZA KUKUSANYA MAPATO KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANGH'WALE June 23, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 03, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • View All

Latest News

  • WAZAZI NA WALEZI WATAKIWA KULINDA HAKI ZA WATOTO

    June 16, 2025
  • NYANG'HWALE YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

    June 11, 2025
  • MILIONI 303 ZATOLEWA KWA VIKUNDI 53 VYA VIJANA, WANAWAKE NA WENYE ULEMAVU AWAMU YA PILI

    June 03, 2025
  • NYANG'HWALE YAZINDUA ZOEZI LA CHANJO DHIDI YA KICHAA CHA MBWA

    June 02, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved