• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

VIJIJI 09 KUNUFAIKA NA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI

Posted on: September 15th, 2025

Wananchi wa Vijiji 09 wanatarajiwa kunufaika na Mpango wa Matumizi bora ya Ardhi unaofanywa na Tume ya Taifa ya Mipango na Matumizi ya Ardhi kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale.

Zoezi hilo linatarajiwa kufanyika kwa Siku 14 kuanzia Septemba 16, 2025 ambapo Vijiji vitakavyonufaika na zoezi hilo ni; Mimbili, Kijinga, Nyugwa, Igeka, Nundu, Lyulu, Nyang’holongo, Isonda, na Nyangalamila.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa H/W ya Nyang'hwale akizungumza na wataalamu kutoka Tume ya Taifa ya Mipango na Mtaumizi ya Ardhi.

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale, Ndg, Ezekiel Ntiriyo ameishukuru Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi kupitia Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi kwa kuipa nafasi H/W ya Nyang’hwale kuwa miongoni mwa Halmashauri zinazonufaika na zoezi hilo.

Aidha, Mjumbe kutoka timu ya Wataalamu amesema lengo la zoezi hilo ni pamoja na kuwezesha upatikanaji wa ardhi kwa ajili ya matumizi ya makazi, Kilimo, Ufugaji, huduma za jamii, utunzaji wa ardhi (Misitu na vyanzo vya maji) na kutatua migogoro baina ya watumiaji wa ardhi.

Wataalamu kutoka Tume ya Taifa ya Mipango na Matumizi ya Ardhi wakiwa kwenye picha ya pamoja na wataalamu wa Halmashauri mara baada ya kikao kazi cha mpango kazi wa mpango wa matumizi bora ya ardhi kwa Vijiji 09

Pamoja na mambo mengine amewataka wataalamu wa sekta mtambuka kutoka Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji kutumia taaluma zao kwa weledi katika kuainisha maeneo yote yanayostahili kupangwa kwa matumizi husika kulingana na vigezo vinavyokubalika kitaalamu.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • WATENDAJI WA KATA WATAKIWA KUSIMAMIA UANDAAJI WA MASHAMBA YA SHULE KUELEKEA MSIMU WA KILIMO

    September 16, 2025
  • WAFUGAJI WATAKIWA KUCHANJA MIFUGO YAO DHIDI YA UGONJWA WA HOMA YA MAPAFU

    September 16, 2025
  • VIJIJI 09 KUNUFAIKA NA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI

    September 15, 2025
  • VYAMA VYA MSINGI VYA USHIRIKA VYATAKIWA KUTHIBITI UTOROSHAJI WA ZAO LA DENGU

    September 11, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved