• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

VIJANA WAZITAMBUA FURSA ZA KIUCHUMI KUPITIA KONGAMANO LA VIJANA

Posted on: July 26th, 2025

Timu ya Wataalamu kutoka Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale, jana Julai 25, 2025 imefanya Kongamano la vijana katika ukumbi wa “Kharumwa Sports” ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuupokea Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2025.

Wataalamu wamezungumza na Vijana mambo mbalimbali yanayowahusu vijana ikiwa ni pamoja na Ushiriki wa vijana katika uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, Historia na falsafa ya Mwenge wa Uhuru, namna ya kuzitambua fursa za uzalishaji mali, na stadi za maisha na matumizi sahihi ya fedha.

Vijana wakisikiliza mada mbalimbali kutoka kwa wawasilishaji

Mkuu wa Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi (W), Ndg, Mabula David amesema Vijana wanatakiwa kuthubutu kwa kuzikimbilia fursa za uzalishaji mali bila woga kama vile kilimo biashara, ufugaji na uchakataji wa mazao ya kilimo kwa kuwa fursa hizo zinapatikana kwenye mazingira wanayoishi.

Mkuu wa Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Ndg. David Mabula, akizungumza na vijna juu ya fursa za kiuchumi zilizopo chini ya Idara hiyo

Afisa Kutoka kitengo ya Maliasili na uhifadhi wa Mazingira, Ndg, Mrema Juma, amesema kuwa, ni wakati sahihi kwa vijana kuzikimbilia fursa zinazotokana na mazao ya misitu kama vile uvunaji na ulinaji wa asali, na kuanzisha viwanda vidogo vya kuchakata mbao mazao ya misitu.

Aidha, Afisa Maendeleo ya Jamii, Ndg, Yahya Selemani amewaeleza Vijana kuwa wanatakiwa kutumia fursa ya uwepo wa kituo cha uwezeshaji wananchi kiuchumi na mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na Halmashauri kujikwamua kiuchumi.

Afisa Maendeleo ya Jamii Ndg. Yahaya Selemani, akizungumza na vijna juu ya fursa za mikopo ya 10%

Pamoja na mambo mengine Vijana wametakiwa kushiriki kwenye mapokezi ya mbio za Mwenge wa Uhuru unaotarajiwa kuwasili Septemba 03, 2025 ukiwa na kauli mbiu isemayo “Jitokeze Kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kwa Amani na Utulivu"

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA TSH 163,101,036.05 KUTOKA SERIKALI KUU July 23, 2025
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA TSH. 805,623,928 KUTOKA SERIKALI KUU July 14, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI 53 ZA KUKUSANYA MAPATO KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANGH'WALE June 23, 2025
  • View All

Latest News

  • VIJANA WAZITAMBUA FURSA ZA KIUCHUMI KUPITIA KONGAMANO LA VIJANA

    July 26, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI AWASIHI VIONGOZI KUONGEZA UBUNIFU ILI KUINUA TAALUMA

    July 17, 2025
  • WAZAZI NA WALEZI WATAKIWA KULINDA HAKI ZA WATOTO

    June 16, 2025
  • NYANG'HWALE YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

    June 11, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved