• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

VIJANA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZINAZOWAZUNGUKA

Posted on: January 10th, 2025

Timu ya wataalamu kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale ikiongozwa na Afisa Vijana Wilaya Ndg Ushuhuda Kibona leo Januari 9, 2025 imehamasisha vijana na vikundi vinavyonufaika na mikopo ya asilimia kumi za Halmashauri kutumia fursa zilizopo katika kata ya Nyamtukuza ili kujikwamua kiuchumi.

Akizungumza na vijana hao Afisa Vijana Wilaya Ndg, Ushuhuda aliwasisitiza vijana kuunda vikundi na kuwa na mpago kazi mzuri na nyaraka nyingine muhimu zinazohitajika ili kushawishi kamati ya mikopo kuwapatia mikopo hiyo inayotokana na asilimia kumi za mapato ya Halmashauri.

Aidha, timu ya wataalamu imejumuisha Afisa Kilimo (W) Ndg, Gudala Kija, aliyeaibua fursa mbalimbali zinazopatikana kwenye kilimo ikiwa ni pamoja na Usindikaji wa mazao, usafirishaji, uhifadhi na uzalishaji. Fursa hizi zitasaidia kuwatoa vijana katika kundi la kukosa ajira na kujiajili wenyewe.

Halikadhalika, Afisa mifugo (W) Ndg, Marwa Fidelis nae aliibua fursa za ufugaji zinazoweza kuwapatia kipato vijana ikiwa ni kunenepesha Ng'ombe ilikuongeza thamani, Kufuga mbuzi wa maziwa, kufuga Nguruwe na kuzalisha unga utokanao na mifupa ya Ng'ombe pamoja na ngozi yake ni mojawapo ya fursa ambazo zinaweza kumpatia kijana ajira.

Afisa Maliasili na Uhifadhi Mazingira Ndg, Anselimo Chambala amezungumzia fursa zilizopo kwenye sekta ya maliasili hasa katika swala la biashara ya upandaji wa miti na ufugaji wa nyuki.

Akihitimisha Ndg, David Stephano, Afisa kutoka kitengo cha Msaada wa kisheria amewataka wananchi kufika ofisini ili kupata msaada wa kisheria kama vile sheria ya ndoa, sheria ya mirathi, sheria ya mtoto na sheria nyingine ili kuwa na jamii yenye amani na utulivu.


Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved