• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Ulevi chanzo kikubwa cha Mifarakano kwenye Familia.

Posted on: May 19th, 2017

Mgeni Rasmi wa Siku ya Familia Wilayani Nyang'hwale, Ndugu Fabian Yinza Katibu Tawala wa Wilaya amewaasa wazazi kuacha Tabia ya Ulevi ambao umekua chanzo kikubwa cha Mifarakano kwenye familia. Amesema hayo leo mchana kwenye Maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani yaliyofanyika kwenye Kijiji cha Kanegele Kiwilaya.

Amesema, Ulevi husababisha hata kuvunja Familia ambapo Watoto ndio huathirika zaidi na Mifarakano hiyo. Aidha amewataka wazazi kuwa Viongozi kwa Watoto kwenye kukemea suala ya Matumizi ya Madawa ya Kulevya ambayo yanaathiri sana Watoto.

Katika kuitikia wito wa kauli mbiu ya Siku ya Familia mwaka huu isemayo "ELIMU NA MALEZI BORA KWA USTAWI WA FAMILIA" amewataka wananchi wa Nyang'hwale kuachana tabia za Ukatili dhidi ya Watoto na amewasihi wazazi kuhakikisha wanawapa watoto wao Elimu bora. ambapo amesisitiza wazazi wawe na Muda wa kuzungumza na watoto wao na kufurahi nao na sio kuwa bize na shughuli zingine tu.

Aidha, Ndugu Katinu Tawala amewasihi wananchi wote kuhifadhi vizuri chakula watachovuna Msimu huu ili kujiwekea akiba na kujihakikishia kutoingia kwenye tatzo la njaa. Katika suala hilo, amekemea tabia ya Baadhi ya Wananchi kupika pombe kwa kutumia chakula wavunacho ambapo husababisha kumaliza Vyakula kwenye jamii.

Hakusita kukemea suala la Imani za Kishirikina ambazo zinasababisha wazee kuishi kwa Hofu kwenye jamii yao kwa kuonekana wachawi ambapo amesema tabia hiyo Inanyanyasa Wazee na Ikomeshe mara moja.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved