• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

UFUNGAJI WA MASHINE YA KUONGEZA VIRUTUBISHI

Posted on: April 16th, 2025

Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale kupitia Kitengo cha lishe imeendelea na zoezi la ufungaji wa mashine za kuchanganyia virutubishi mbalimbali kwenye unga wa mahindi, lengo ikiwa ni kuwa na jamii yenye lishe na afya bora.

Zoezi hilo limeendelea hapo Jana Aprili 15, 2025 ambapo Shule ya Sekondari Shabaki imepata fursa ya kunufaika na zoezi hilo kwa kufungiwa mashine moja ya kuchanganyia virutubishi vya madini ya zinki, foliki asidi na Vitamini B12.

Afisa Lishe (W), Ndg, Furaha Nicholaus, amesema jamii inapaswa kutumia unga wenye virutubishi kwa kuwa unga huo huondoa njaa iliyojificha, kuondoa tatizo la upungufu wa damu kwa wajawazito, Watoto walio chini ya umri wa miaka mitano na kuwasaidia wajawazito katika uundwaji wa mtoto tumboni.

Aidha, Meneja wa Biashara na Maendeleo kutoka Shirika la SANKA Ndg, David Rafael ambaye ni Msambazaji na Mufungaji wa mashine hizo Kanda ya Ziwa, ametoa rai kwa jamii kutumia unga uliochanganywa na Virutubishi ili kuwa na jamii yenye Afya Bora.

Mkuu wa Shule ya Sekondari Shabaka, Ndg, Maziko Leonard, ameishukuru Ofisi ya Mkurugenzi mtendaji kwa kuwaleta Wadau wa Shirika la SANKU na kuipa kipaumbele Shule ya Sekondari Shabaka kufungiwa mashine hiyo ya virutubishi.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • MILIONI 206 ZATOLEWA KWA VIKUNDI 31 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WENYE ULEMAVU AWAMU YA KWANZA YA MWAKA 2025/2026

    October 24, 2025
  • MKURUGENZI MKUU TAKUKURU AZINDUA JENGO LA OFISI ZA TAKUKURU NYANG'HWALE

    October 22, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAHIMIZWA KUWAHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI

    October 18, 2025
  • WATENDAJI WA KATA WAJENGEWA UWEZO WA KUSIMAMIA MIRADI KWENYE KATA ZAO

    October 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved