• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

TUMUOMBEE YALIYO MEMA MHE. RAIS, DKT. SAMIA SULUHU HASSAN - DC KINGALAME

Posted on: April 8th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Nyang'hwale Mhe. Grace Kingalame leo Aprili 08, 2024 amejumuika na waumini wa dini ya kiislamu na wasio wa  dini ya kiislamu katika Iftari na dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan

Hafla hiyo fupi imefanyika katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa uliopo kata ya Kharumwa na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Wilaya ya Nyang'hwale.

Mhe. Kingalame amewashukuru sana Waumini na Wananchi kwa ujumla kwa kuhudhuria hafla hiyo yenye lengo la kumuombea dua Mhe. Samia Suluhu Hassan.

"Sababu ya kujumuika hapa ni kumuombea Rais wetu aendelee kutuongoza kwa hekima, huruma na  upendo mkubwa, na mungu ampe Afya njema ya kuliongoza Taifa hili" Ameongeza Mhe. Kingalame

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale, Ndugu, Husna Toni amemshukuru sana Mhe. Kingalame kwa kuwakutanisha pamoja waumini wa kiislamu na wasio wa kiislamu katika kumuombea dua Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Aidha, Katibu Tawala wa Wilaya ya Nyang'hwale, Ndugu, Kaunga Omari amewaomba waumini hao kuwaombea dua viongozi wote wa Wilaya ya Nyang'hwale ili waweze kuwahudumia Wananchi wote kwa uadilifu uliotukuka









Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved