• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

TIMU YA WATAALAMU KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU YARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UKAMILISHAJI WA KITUO CHA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI

Posted on: April 15th, 2024

Timu ya wataalamu ya uhakiki na ukaguzi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu na Baraza la uwezeshaji Wananchi kiuchumi leo Aprili 15, 2024 imetembelea mradi wa ukamilishaji wa kituo cha uwezeshaji wananchi kiuchumi katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale.

Ukamilishaji wa kituo hiko unafanyika kwa fedha ya ufadhili kutoka Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi wenye thamani ya kiasi cha fedha Tsh. Milioni 247.1 kutokana na makubaliano yaliyofanyika  Julai 24, 2023 baina ya Halmashauri na Baraza hilo.

Timu ya wataalamu hao imeridhishwa na hatua kubwa ya maendeleo ya ukamilishaji na ubora wa kituo hiko ambacho kwa sasa umefikia asilimia 85 ya ukamilishaji.

Ndugu, Oswadi Karadisi, Meneja tathmini na ufatiliaji kutoka ofisi ya waziri Mkuu amesema kuwa wanampongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri na timu yake ya wataalamu kwa usimamizi mzuri wa mradi na wao wameridhika na hatua kubwa iliyofikiwa ya ukamilishaji wa kituo hiko

Kituo hiko kitakapokamilika kinatarajiwa kuwa na faida lukuki kwa Wananchi ambapo faida hizo ni pamoja na uwepo wa Taasisi mbalimbali zitakazowawezesha Wananchi Kiuchumi na kurahisisha upatikanaji wa huduma mbalimbali.

Taasisi hizo ni pamoja na Shirika la kuhudumia viwanda vidogo (SIDO), Mfuko wa Taifa wa hifadhi ya Jamii (NSSF),Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Shirika la Vicoba Tanzania, Mfuko wa Pembejeo wa Taifa (AGITF) , Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Asasi binafsi ya kusaidia sekta ya kilimo (PASS).





Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved