• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Takukuru watakiwa kuchunguza kesi za Mimba Wilayani Nyang’hwale

Posted on: June 18th, 2018

Ndugu Vitalis Ndunguru, Afisa Tarafa wa Tarafa ya Msalala kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale amewaomba Takukuru kusaidia kuchunguza kesi za Mimba kwa Wanafunzi ili kubaini zinaishia wapi kesi hizo kwani kumekua na kutofikia hatua ya Hukumu Wilayani Nyanghwale.

Ameyasema hayo akihutubia wananchi wa wilaya ya Nyang’hwale Jumamosi, Juni 16,  2018 kwenye maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika maadhimisho yaliyofanyika Kimkoa kwenye viwanja vya Sabasaba Wilayani hapa.

Ndugu, Ndunguru amesema kwa kipindi cha mwaka mmoja zimeripotiwa mimba tisini na tisa (99) kwa Watoto wa shule za Msingi na Sekondari ambapo kwenye mimba hizo polisi lakini watuhumiwa hawajakamatwa hadi sasa.

Awali, akitoa salamu za Chama cha Mapinduzi Ndugu Abushekhe Omary aliwaomba wazazi kuhakikisha Watoto wao wanawapatia chakula cha kutosha ili wawe na utayari kiafya na kiakili wawapo shule ili wapokee wanayofundishwa.

Amewataka pia wazazi kuhakikisha hawawafichi wanaojihusisha na mapenzi na Watoto wao na kupelekea kuwapa mimba kwani vitendo hivyo vinawanyima Watoto haki yao ya ya kupata elimu bora.

Mzee Abushekhe aliendelea kwa kuwataka wazazi kujitoa kweli kwenye kuwapa elimu bora Watoto wao hata kwa kuhakikisha wanauza ng’ombe ili kupata mahitaji ya shule kwa Watoto hadi wafike chuo kikuu.

Alipokuwa akisoma Risala kwa niaba ya Watoto Wilayani Nyang’hwale, Dorickas Msekela mtoto wa darasa la saba kutoka shule ya Msingi Kharumwa aliwaomba wazazi kuacha kuwapa kazi zinazowamalizia muda wa kujisomea na kukosa kujisomea wawapo nyumbani kama kuchunga Ng’ombe na Kukata kuni.

Watoto hao walisisitiza Serikali kuwapa elimu bora na kuhakikisha wanachukua hatua kali kwa waajiri wanaotumikisha na kuajiri watoto kwenye maeneo yao kama vile kwenye migodi.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU HALMASHAURI IMEPOKEA FEDHA TSH. BILIONI 1.1 ZA MIRADI YA MAENDELEO

    May 16, 2025
  • SIKU YA FAMILIA WAZAZI WATAKIWA KUIMARISHA FAMILIA

    May 15, 2025
  • BARRICK NA HALMASHAURI WASAINI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR 2025

    May 13, 2025
  • DAS AWATAKA WAZAZI KULINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

    May 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved