• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

SIMAMIENI MASHAMBA YA SHULE KUONGEZA UPATIKANAJI WA CHAKULA – MKURUGENZI MTENDAJI NYANG’HWALE

Posted on: August 27th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale, Ndg. Husna Toni, amewaagiza Maafisa ugani kusimamia ipasavyo mashamba ya Shule ili kuongeza tija ya upatikanaji wa chakula Shuleni.

Ametoa maagizo hayo leo Agosti 27, 2024 kwenye kikao kazi cha kamati ya lishe kilichoketi kujadili Shughuli zilizotekelezwa kwa kipindi cha robo ya nne kuanzia Aprili hadi Juni, 2024.

Ameelekeza kuwa kila Shule ilime ekari mbili za mashamba ya chakula ili kuimarisha upatikanaji mzuri wa chakula kitakachoweza kutosheleza kwa wanafunzi wote kwenye kila Shule.

Aidha, amemuagiza Afisa lishe kwa kushirikiana na Maafisa Elimu kusimamia uanzishwaji wa klabu za lishe kwenye Shule zote za Msingi na Sekondari. Kupitia klabu hizo Wanafunzi watapata fursa ya kujifunza kwa vitendo umuhimu wa lishe bora.

Pamoja na mambo mengine, Mkurugenzi Mtendaji ameipongeza Kamati ya Lishe kwa kuiwezesha Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale kufanya vizuri kwenye viashiria vya kupima hali ya lishe kwa kipindi cha robo ya nne kuanzia Aprili hadi Juni 2024.



Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved