• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

SIKU YA FAMILIA WAZAZI WATAKIWA KUIMARISHA FAMILIA

Posted on: May 15th, 2025

Katibu Tawala wa Wilaya ya Nyang’hwale Ndg. Kaunga Omari leo Mei 15, 2025 ameshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani Kiwilaya yaliyofanyika katika ukumbi wa Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi.

Siku ya Familia Duniani huadhimishwa kila mwaka ifikapo tarehe 15, Mei ambapo lengo kubwa ni kuziweka na kuzikumbusha Familia umuhimu wa kuzingatia malezi na makuzi bora kwa Watoto.

Akiwa katika maadhimisho hayo Katibu Tawala (W) amewataka Wazazi kuzingatia namna sahihi ya kutunza Familia ili kuwa na familia bora na imara katika Jamii ambapo amesema Mtoto anatakiwa kupewa malezi bora kuanzia kipindi cha ujauzito hadi anapofikisha umri wa miaka 18.

Aidha, Mratibu wa Familia Ndg. Imelda Saga amesema Wazazi wanatakiwa kuhakikisha Watoto hawaendi maeneo hatarishi ili kuepuka kufanyiwa vitendo vya kikatili na kutenga muda wa kuongea na kufuatilia mienendo ya Watoto mara kwa mara.

Pia, amesema Wazazi wahakikishe Watoto wanatumia vifaa vya kielektroniki kama vile Simu, intaneti na Runinga kwa uangalizi wa karibu ili kuepuka mmomonyoko wa maadili kwa Watoto.

Vilevile, amesema Familia zielekeze Watoto kutimiza wajibu wa kuheshimu na kupokea maelekezo ya Wazazi au Walezi kwa kuwa ndio msingi wa utii, uadilifu na uzalendo ili kujenga misingi imara ya ustawi na maendeleo ya Mtoto.

Halikadhalika muwezeshaji kutoka Bank ya NMB amewaeleza Wazazi namna ya kufanya uwekezaji kwa Watoto ambapo amewasahauri Wazazi kuwafungulia Watoto akaunti za kifedha ili ziweze kuwasaidia baadae katika masomo na matumizi mengine.

Kauli mbiu ya Siku ya Familia Duniani kwa mwaka 2025 inasema “Mtoto ni Malezi: Msingi wa Familia bora kwa Taifa imara.”


Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 02, 2025
  • TANGAZO LA KUHAMA KWA STENDI YA MABASI YA ABIRIA KWENDA STENDI MPYA YA IKANGALA KUANZIA TAREHE 30/08/2025 August 28, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE,VIJANA NA WENYE ULEMAVU August 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA MKATABA July 30, 2025
  • View All

Latest News

  • MILIONI 206 ZATOLEWA KWA VIKUNDI 31 VYA VIJANA,WANAWAKE NA WENYE ULEMAVU AWAMU YA KWANZA YA MWAKA 2025/2026

    October 24, 2025
  • MKURUGENZI MKUU TAKUKURU AZINDUA JENGO LA OFISI ZA TAKUKURU NYANG'HWALE

    October 22, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAHIMIZWA KUWAHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI UCHAGUZI

    October 18, 2025
  • WATENDAJI WA KATA WAJENGEWA UWEZO WA KUSIMAMIA MIRADI KWENYE KATA ZAO

    October 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved