• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

SHIRIKA LA "THE DESK & CHAIR FOUNDATION" LIMETOA BAISKELI 6 KWA WALEMAVU

Posted on: September 16th, 2022

Mapema leo mchana tarehe 16/09/2022 nje ya jengo la Halmashauri, ndugu Vitalis ndunguru toka ofisi ya mkuu wa wilaya amekabidhi baiskeli 6 za walemavu zenye thamani ya Tshs. 3,600,000.00 zilizotolewa na shirika la “The desk & chair foundation” tawi la Mwanza. Aidha wakati wa kukabidhi ndugu Vitalis Ndunguru amewasihi watumiaji kuwa wazitunze na pale zinapohitaji matengenezo basi walezi wao wawasaidie katika matengenezo, lengo la Serikali ni kuona kila mmoja anashiriki shughuli za kijamii pasipo kikwazo chochote.

Mwakilishi wa shirika “The desk & chair foundation” ndugu Sibtain P.L Meghjee, amesema lengo la shirika ni kusaidia watu wenye ulemavu wapate baiskeli ya kutembelea na amesisitiza wapo tayari kuendelea kutoa msaada.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji ndugu Majagi Maiga ametoa shukrani kwa shirika hilo na amewaomba wawe tayari kutoa msaada kwa walemavu kwani mahitaji bado ni makubwa na baada ya Serikali kufanya sensa kuna uwezekano idadi kubwa ya walemavu ikapatikana.

Waliokabidhiwa baiskeli hizo ni Marco Saliboko (kijiji cha Shabaka), Sabina Masunzu (Kijiji cha kakora), Lamerck Mkingwa(Kijiji cha Kitongo), Leonard Bulabu (Kijiji cha Nyijundu) na Emmanuel  Titus (Kijiji cha Kharumwa)

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved