• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Sheria Zilizopitwa na Wakati kuhifadhi Mazingira sasa Basi

Posted on: August 27th, 2018

Waziri wa nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba amezitaka Wilaya za Geita kuunda sheria ndogo za kusimamia Mazingira zinazoendana na wakati kwa kutambua thamani ya faini za adhabu. Amesema hayo Jumamosi tarehe 25 Agosti, 2018 kwenye Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa wa Geita alipokuwa akizungumza na viongozi wa Wilaya za Mkoa wa Geita.

Akifafanua suala hilo Mhe Makamba ameeleza kuwa Jamii ni lazima ielimishwe kuhusiana na faida za Kuhifadhi Mazingira ili kuhifadhi ambapo hali hiyo itawajengea utayari wa Kuhifadhi maeneo yaliyohifadhiwa kwa maendeleo yao. Aliendelea kwa kusema kuwa jamii ikielimishwa watakuwa walinzi wenyewe na watawaibua wanaharibu Mazingira. Amesema, sheria ndogo za Kuhifadhi Mazingira zilizo bora wanazo kama wizara ambapo wanasaidia Halmashauri wakihitaji watawapatia wazifanye ziwe zao ili kuboresha sheria zilizopitwa na wakati.

Amesema kuwa Halmashauri inaweza kupendekeza kwa waziri wa Mazingira  kama kuna eneo linahitaji kulindwa naye atafanya hivyo kwa kulindanga kwenye gazei la Serikali kuwa eneo la kulinda kwa mujibu wa ibara ya 47 ya sheria ya Mazingira.

Kuhusu maeneo ambayo Halmashauri inahitaji yatambulike kama maeneo nyeti kama yenye asili ya Vinamasi, ziwa, mito au vijito Mhe. Waziri amesema Halmashari kupitia Baraza la Madiwani wawasilishe Mapendekezo naye atatuma wataalamu watafia kwenye Wilaya zao wakijiridhisha atatangaza Rasmi maeneo hayo kuwa ‘Eneo Nyeti’ na kupata Ulinzi wa Kitaifa kwa Mujibu wa kifungu cha 51 cha sheria hiyo.

Aidha Mhe. Waziri aliwakumbusha Sekretarieti za Mkoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuunda kamati za Usimamizi wa Mazingira kwenye ngazi zote kuanzia vitongoji hadi Mkoani. Ambapo kifungu cha 39 cha sheria ya Mazingira kinazitaka Halmashauri kuteua Afisa Usimamizi wa Mazingira kwenye ngazi zote.

Mhe. Makamba ameelezea pia kifungu cha 182 cha sheria hiyo kuwa Waziri Mwenye dhamana na Mazingira ana uwezo wa kumteua Mtumishi yeyote wa Umma kuwa ‘Mkaguzi wa Mazingira’ ambaye atakua na mamlaka ya Kisheria kuingia eneo lolote au kumsimamisha chombo chochote cha Usafiri na kukikagua kwa kuhitaji nyaraka, picha au taarifa yoyote. Ameziomba Halmashauri kupendekeza majina ya Watumishi hao haraka iwezekanavyo naye atawateua.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved