• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

SERIKALI YARIDHIA KUGAWA SEHEMU YA ARDHI YA HIFADHI KWA MATUMIZI YA VIJIJI

Posted on: July 23rd, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale, Mhe, Grace Kingalame, jana Julai 22, 2023 ametangaza hatua ya serikali kuridhia kugawa sehemu ya ardhi ya hifadhi ya Msitu wa Mienze kwenda kwenye miliki ya wananchi wa vijiji vya Bujuramienze na Ihushi.

Mhe, Mkuu wa Wilaya alimbatana na Kamati ya Ulinzi na usalama ya Wilaya, Mkurugenzi Mtendaji, Bi Husna Toni na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale, Mhe, John I. John.

Hatua hiyo imefikiwa baada ya hapo awali Serikali kuunda kamati ya mawaziri wanane kuchunguza migogoro ya ardhi itokanayo na wananchi kuvamia maeneo ya hifadhi za misitu na kufanya shughuli za kiuchumi na makazi.

Kamati hiyo ya mawaziri ilifika Wilaya ya Nyang’hwale Oktoba 26, 2021, na kutembelea maeneo yaliyovamiwa na kuchukua mapendekezo kutoka kijiji cha Bujuramienze kata ya Nyabulanda na Kijiji cha Ihushi kata ya Shabaka.

“Baada ya kuundwa Tume hiyo iliamuriwa kwamba tupewe ekari 1852 kwa Kijiji hiki cha Bujuramienze na ekari 331 kwa kitongoji cha Ihushi ili mambo yetu yaende na sasa ekari hizo zipo mikononi mwetu” Alisema Mhe, Mkuu wa Wilaya.

Aidha, Mhe, Mkuu wa Wilaya alisisitiza wananchi kuzingatia matumizi bora ya ardhi na kuheshimu mipaka ya maeneo ya hifadhi kama ilivyoainishwa mipaka hiyo na serikali kupitia wataalamu wetu wa ardhi.

Wananchi wa vijiji hivyo wameishukuru sana Serikali na Mhe, Rais, Dtk. Samia Suluhu Hassan kwa hatua hiyo muhimu ya kuwapatia ardhi kwa kuwa itawasaidia katika shughuli zao za kiuchumi na watapata maeneo ya kujenga miundombinu ya taasisi kama shule na Zahanati.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU HALMASHAURI IMEPOKEA FEDHA TSH. BILIONI 1.1 ZA MIRADI YA MAENDELEO

    May 16, 2025
  • SIKU YA FAMILIA WAZAZI WATAKIWA KUIMARISHA FAMILIA

    May 15, 2025
  • BARRICK NA HALMASHAURI WASAINI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR 2025

    May 13, 2025
  • DAS AWATAKA WAZAZI KULINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

    May 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved