• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

RC SHEGELA AZINDUA SHULE YA MCHEPUO WA KINGEREZA NYANG’HWALE

Posted on: April 26th, 2023

Leo tarehe 26/04/2023 Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martin Shegela amezindua Shule ya Mchepuo wa Kingeleza iitwayo Kharumwa English Medium School iliyopo Kata ya Kharumwa wilayani Nyang’hwale. Shule hiyo ambayo ndio ya shule ya msingi ya kwanza kufundisha kwa kutumia lugha ya kingereza ilifungulia mwaka jana mwezi wa tatu.

Akisoma taarifa ya Shule hiyo kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji, Mkuu wa Shule hiyo Mwalimu Justin Mathias Alisema shule hiyo imejengwa kwa kutumia mapato ya ndani ya Halmashauri kutoka Fedha za CSR zinazotolewa na Mgodi. Alisema kwa sasa Shule ina jumla ya Vumba vya Madarasa 6 ofisi za waalimu, jengo au bwalo la chakula na Vyoo ambavyo vote vinatumika. Aliongeza kwa kusema mwitikio wa wazazi kuleta Watoto wao hapo shuleni ni Mkubwa kwani jamii inayozunguka shule hiyo inafuraha ya kupata shule ya kwanza inayofundisha kwa lugha ya kingereza tangu darasa la awali mpaka darasa la saba.

Aida Mkuu wa Shule alieleza changamoto zinazoikabili shule ni kukusekana kwa usafiri wa shule wa kuwaleta na kuwarudisha Watoto majumbani mwao, shule haina uzio na viwanja vya michezo havijakamilika.

Mwisho Mkuu wa Mkoa alizungumza na wananchi na wanafunzi wa shule hiyo kwa kuomba watunze shule hiyo vizuri illi iendelee kutoa huduma. Pia alishauri Halmashauri kuangualia namna ya kupunguza ada ambayo ni Tshs. 500,000 kwa mwnafunzi ili kuweza kuruhusu wazazi wengi kupeleka Watoto wao shuleni hapo.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved