• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

OFISI YA DC YAKABIDHI BATI 216 KWA SHULE 3 ZA MSINGI

Posted on: January 11th, 2025

Kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Nyang'hwale, Kaimu katibu Tawala Ndg. Vitais Ndunguru, Jana Januari 10, 2025 amekabidhi bati 216 (Gauge 28) kwa Shule za Msingi Ipalang’ombe, Igeka na Ibambila kwa ajili ya ukamilishaji wa vyumba vya madarasa vilivyojengwa kwa nguvu za Wananchi.

Akiwa katika ziara hiyo Kaimu Katibu Tawala ametoa rai kwa Wazazi kuhakikisha ifikapo Januari 13, 2025 Watoto waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza wanaenda kuripoti shule na kuhakikisha Watoto wanajiunga na Shule za awali na msingi.

Aidha Kaimu Katibu Tawala Wilaya ameridhishwa na maandalizi ya miundombinu ya Shule za Sekondari ikiwemo ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari kata ya Kharumwa ambapo maandalizi hayo ni ya kuwapokea Kidato cha Kwanza wanaotarajiwa kujiunga na Shule hizo mwaka 2025.

Halikadhalika, Kaimu Afisa Elimu Msingi (W) Mwl. Jonathan Lwezarula amesema lengo la kuandikisha Wanafunzi wa Awali kwa mwaka 2025 lilikuwa 7041 na hadi sasa wamefanikiwa kuandikisha Wanafunzi 4577 sawa na Asilimia 65.

Kwa upande wa uandikishaji wa darasa la kwanza lengo lilikua kuandikisha Wanafunzi 7006 na hadi sasa wamefanikiwa kuandikisha Wanafunzi 4971 sawa na Asilimia 71.

Vilevile kaimu Afisa Elimu Sekondari (W), Mwl. Elias Mwalongo amesema Wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na Kidato cha Kwanza kwa mwaka 2025 ni 2705.





Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved