• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Nyang'hwale yaweka mikakati ya kuondoa Udumavu

Posted on: November 14th, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale Mhe. Hamim Gwiyama awataka Watendaji kuwa na mipango thabiti ya kuondoa wadumavu kwenye Jamii kwa kuhakikisha upatikanaji wa lishe bora kwa watu wake

Amebainisha hay oleo Asubuhi alipokuwa akifungua semina ya mafunzo kwa wajumbe wa Kamati ya Lishe Wilaya yaliyoratibiwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kuwafundisha jinsi ya kupanga bajeti ya lishe kwa Mwaka wa fedha 2019/2020.

Mhe. Hamim Gwiyama, alizungumzia umhimu wa lishe bora kwenye jamii ambapo alisistiza ya kuwa wanawake wajawazito na watotot wadogo wapewe kipaumbele ili kuiepusha jamii na udumavu

Aidha, Mhe. Mkuu wa Wilaya alisisitiza umhimu wa kupanga bajeti ya masuala ya Lishe ili tuweze kupata fedha za kutumia wakati wa kujenga afya ya Mwili na Akili kwa watu wetu.

Awali mratibu wa Chanjo Wilaya, alisema udumavu unaosababishwa na Lishe duni upo kwa 45% kiwango ambacho ni kikubwa sana ukilinganisha na kiwango cha Kitaifa ambacho ni 33% ambapo aliwaomba wadau mbali mbali kutoka Idara za Afya na Kilimo kushirikiana na kitengo cha lishe wakati wa kupanga bajeti ili kupunguza udumavu huo,

Alipokuwa akitoa mada Ndg. Peter kaswahili , mwezeshaji kutoka TAMISEMI alisema suala la bajeti ya Lishe ni lazima Wilaya ilifanye kuwa kipaumbele ili kujenga afya bora za jamii tunayoihudumia.

Alipokuwa akifunga mafunzo Ndg. Fabian Yinza Katibu Tawala wa Wilaya, aliwataka wadau wa Afya kutilia mkazo kwenye makusanyo ya fedha kutoka mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ili kuongeza mapato ya ndani na fedha zitakazopatikana hata kama ni kidogo tuhakikishe zinaboresha huduma za Lishe kwa Jamii ya Nyang’hwale hasa kwa wamama Wajawazito na watoto wachanga.

Mwenyakiti wa Halmashauri, Mhe. Isack John Isack aliwashukuru wawezeshaji kwa mafunzo ambayo alisema amekiri kuwa yamemjengea uwezo na kumfungua sana kuhusiana na masuala ya Lishe na aliwahidi kuwa yeye kama msimamizi wa Halmashauri atahakikisha yanatekelezwa yale yote yaliyofundishwa.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved