• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

NYANG’HWALE YAUNGANA NA WATANZANIA KWENYE DUA YA KULIOMBEA TAIFA KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA SIKUKUU YA MUUNGANO

Posted on: April 23rd, 2024

Wananchi wa Wilaya ya Nyang’hwale wameungana na Watanzania wote katika dua na sala ya kuliombea Taifa jana Aprili 22, 2024 katika viwanja vya Sabasaba kata ya Kharumwa.

Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale, Mhe. Grace Kingalame ameshirikiana na Viongozi wa dini kuongoza ibada hiyo maalumu ya kuliombea Taifa kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya sikukuu ya Muungano.

Akitoa hotuba yake kwa Wananchi, Mhe. Kingalame amesema kuwa dua hiyo ni maalum kwa ajili ya kuliombea Taifa kuendelea kudumu katika muungano huo uliodumu kwa miaka 60 tangu waasisi wetu Hayati Julius Nyerere na Hayati Sheikh Amani Abeid Karume walipochanganya udongo na kusaini hati kama ishara ya muungano.

Amesema kuwa pamoja na waasisi wa muungano huu kutangulia mbele ya haki, lakini misingi waliyoijenga na kuiacha imeendelea kuimarisha umoja, amani, utulivu na mshikamano wa Taifa.

“Hakika utamaduni tuliojijengea wa kuwa na vikao vya pamoja vya kujadili na kuzipatia ufumbuzi changamoto zinazojitokeza  za muungano kwa kuzingatia misingi ya umoja na mshikamano umeimarisha na kudumisha Muungano kwa kiasi kikubwa” Ameeleza Mhe. Kingalame.

“Katika Wilaya yetu ya Nyang’hwale kwa kipindi cha miaka 60 ya muungano tumefanikiwa kuwa na Shule 74 za Msingi, Shule 17 za Sekondari, vituo vya Afya 4, Zahanati 32, kuimarika kwa miundombinu ya barabara, na huduma za umeme na maji” Ameongeza Mhe. Kingalame.

Mbunge wa Jimbo la Nyang’hwale, Mhe. Nassor Amar Kassu, amewataka Wananchi kuendelea kudumisha amani na kuuenzi muungano ulioasisiwa na viongozi wetu waliotangulia mbele ya haki.

Mhe. Kingalame alimalizia kwa Kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Hussein Ali Mwinyi kwa kuendelea kudumisha muungano wetu.







Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved