• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

NYANG'HWALE YAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI YA CSR

Posted on: October 25th, 2024

Kwa niaba ya Kamishna wa Madini Tanzania, Mhandisi John Shija jana Oktoba 25, 2024 akiwa na timu ya wakaguzi kutoka Wizara ya Madini wameipongeza H/W Nyang’hwale kwa usimamizi mzuri wa Miradi inayotekelezwa kupitia fedha za  CSR kwa kushirikiana na  Kampuni ya uchimbaji Madini Barrick Bulyanhulu.

Akiwa katika ziara hiyo amekagua miradi mbalimbali inayotekelezwa kupitia fedha za CSR ambayo ni pamoja na Jengo la Wodi Maalumu na Jengo la Dharula katika Hospital ya Wilaya, Karakana ya magari, Shule ya mchepuo wa kingereza, Stendi, pamoja na Vyumba vya Madarasa matatu (3) katika Shule ya Msingi Samia Suluhu Hassan.

 Akiongea mara baada ya ziara hiyo Mhandisi John Shija ameridhishwa na utekelezaji wa miradi hiyo na kuipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale kwa usimamizi mzuri uliopelekea miradi kukamilika kwa wakati na hatimae kuwanufaisha Wananchi kama inavyotakiwa.

Aidha ameipongeza Kampuni ya uchimbaji Madini Barrick Bulyanhulu kwa kuendelea kuwajibika kwa jamii na kuitaka Kampuni hiyo kuendelea kudumisha mahusiano mazuri na Halmashauri ya Nyang'hwale ili Wananchi waendelee kunufaika na uwepo wa Kampuni hiyo.


Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU HALMASHAURI IMEPOKEA FEDHA TSH. BILIONI 1.1 ZA MIRADI YA MAENDELEO

    May 16, 2025
  • SIKU YA FAMILIA WAZAZI WATAKIWA KUIMARISHA FAMILIA

    May 15, 2025
  • BARRICK NA HALMASHAURI WASAINI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA CSR 2025

    May 13, 2025
  • DAS AWATAKA WAZAZI KULINDA WATOTO DHIDI YA UKATILI

    May 10, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved