• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

NYANG’HWALE YAJIKITA KWENYE MIKAKATI YA KUBORESHA HALI YA LISHE

Posted on: October 19th, 2023

Halamshauri ya Wilaya ya Nyang’hwale kupitia kamati yake ya Lishe ya Wilaya imefanya Kikao chake cha kutathmini shughuli zilizotekelezwa kwa kipindi cha robo ya kwanza (Julai – Septemba) ya mwaka wa fedha 2023/2024.

Kupitia kikao hiko, Kamati imeweka mikakati kadhaa ya kuhakikisha inaimarisha hali ya ubora wa Lishe kwa Watoto na jamii yote kwa ujumla. Utekelezaji wa mikakati hiyo ni pamoja na  kuhakikisha kunakua na uhakika wa upatikanaji wa chakula na maji safi na salama mashuleni.

Aidha, Mjumbe wa Kamati ya Lishe, kupitia Idara ya Kilimo amesema kuwa Idara imejipanga kusambaza mbegu za viazi lishe kwa shule zote ili kutatua suala la chakula Shuleni. Ambapo kwa sasa mbegu hizo zipo tayari katika kitalu nyumba cha mbegu kilichopo eneo la Nyamgogwa.

Sambamba na hilo wajumbe wa kamati hiyo wamesisitiza uwepo wa uhakika wa upatikanaji wa maji safi na salama mashuleni. Wameeleza kuwa maji yanayotumiwa kwa ajili ya kunywa mashuleni ni lazima yachemshwe kufikia nyuzi joto zinazotakiwa na ikibidi yawekwe dawa ya kutibu maji hayo.

Mwenyekiti wa Kamati, ambae pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, Ndugu, Husna Toni ameelekeza kuhama kwenye matumizi ya nishati ya kupikia kutoka kwenye matumizi ya kuni na kutafuta nishati mbadala kama vile gesi, bayogesi, na mkaa poa.

Pia, Afisa lishe, Somoe mesema, shughuli zilizotekelezwa na Idara hiyo kwa kipindi cha kuanzia Julai- Septemba ni pamoja na kuwajengea uwezo walimu wa Afya na lishe. Ambapo jumla ya walimu 86 wamefanyiwa mafunzo kuhusu Afya na Lishe mashuleni.

“Maadhimisho ya Siku ya Afya na Lishe ya Kijiji (SALIKI) ambapo tumetoa elimu ya uzazi wa mpango, elimu dhidi ya ukatili wa kijinsia, kuhamasisha wananchi kujiunga na bima ya Afya ya Ichf na kufanya tathmini ya hali za Lishe kwa Watoto na watu wazima” Aliongeza



Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • TANGAZO LA KURUDIWA KWA UCHAGUZI KUNDI LA WANAWAKE KIJIJI CHA SHIBUMBA KATA YA KABOHA December 06, 2024
  • TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA November 21, 2024
  • TANGAZO KWA WATUMISHI. October 22, 2024
  • View All

Latest News

  • BARRICK YAFADHILI ZOEZI LA UPULIZIAJI WA VIUATILIFU KWENYE NYUMBA ZA WAKAZI

    May 08, 2025
  • WANAFUNZI WATAKIWA KUTUMIA MAJI SAFI NA SALAMA

    May 07, 2025
  • MHE. JOHN ISACK AAGIZA KIWANDA CHA NISHATI SAFI KIKAMILIKE KWA WAKATI

    May 07, 2025
  • WANANCHI WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA LISHE

    April 24, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved